MP3 DOWNLOAD Kusah – Nilikudanganya
Kusah, born on February 14, 1994, is popularly known by the stage name Kusah. He began his music career with the debut single titled Hallelujah. Among his songs, the track that gave him major recognition is I Wish, which made him widely known in the music industry of Tanzania and East Africa.
A Tanzanian artist, singer and songwriter, Kusah has continued to impress fans with his catchy melodies and unique style. Over the years, he has released several projects that showcase his musical growth and versatility. His latest release titled Nilikudanganya was produced by Mr. T.
SIMILAR: Kusah – Hujanikomoa
Kusah – Nilikudanganya Lyrics
Mhmmmm
Nisameheeeee
Nilikudanganya
Nilikutumia vikopa kusema nakupenda siyooo
Eti Rashidi kapiga saa sita usiku siyooo
Eti Chode kazidiwa leo nalala kwake
Maaana yuko peke yake
Mhhmmmm
Nilikudanganya danganya
Juzi nimetoka kukutenda
Nikakupost kwa sababu nakupenda
Nikazidisha penzi na madenda siyooo
Nakumbuka ulinifumania
Nikakataa nikakubishia
Nikalia nilikuidizia ni uongoo uwoo
Nataka sasa hivi niache upaka
Nataka sasa hivi niweke mipaka
Nataka sasa hivi nitulieeeee
Na wewe
MP3 DOWNLOAD
Get More Hits Song From Kusah;

