LIFE STYLE

Rayvanny achora tatoo ya kwanza mwilini mwake.

Rayvanny achora tatoo ya kwanza mwilini mwake.
Moja ya wasanii kutoka WCB wasafi ambae anafanya vizuri kwenye game ya bongofleva Rayvanny ambae mwili wake ulikuwa msafi kama jina la label yao ameshare baadhi ya picha kwenye page yake ikionyesha kuwa sasa mwili wake uko na tattoo yake ya kwanza .
Rayvanny hakuwahi kumiliki tattoo kabisa kwenye mwili wake lakini sasa ameshare picha ikionyesha kuwa amechora tattoo kwenye eneo la shingo yenye maneno ‘‘BLESSED” yaani ‘HERI”.
Watu husema kuwa kama utachora tattoo moja basi ni rahisi kuendelea kuchora nyingi zadi kwani huwa zina kama kilevi hivi hivyo swali linakuwa Rayvanny ataweza kujikaza asiongeza tattoo nyingi?
So far kutoka wcb wasafi wanabakii Queen DarleenLavaLavaMbosso na Zuchu ambao hawamiliki tatoo kabisa mwenye miili yao.

Leave a Comment