MP3 DOWNLOAD Zuchu ft Khadija Kopa – Mauzauza
Zuhura Othman Soud, better known by her stage name Zuchu, is a Tanzanian singer, songwriter, and recording artist signed under WCB Wasafi Records label Diamond Platnumz’s leadership.
Zuhura Othman Soud, better known by her stage name Zuchu, is a Tanzanian singer, songwriter, and recording artist signed under WCB Wasafi records label Diamond Platnumz leadership, dropped a new hits song titled Mauzauza.
SIMILAR: Zuchu Ft Joeboy – Nobody
Zuchu ft Khadija Kopa – Mauzauza Lyrics
Shunuaa usijipe mapana
Eti mwili kujitutumusha
Nitakutawanya ka bahari na fimbo ya Musa
Umejigeuza Sudi
Sio wa Corora wala Vogi
Na hilo wowowo la kufoji
Eti linakupa kodii
Ohh leo unikome mwenye kiranga
(Mwenye kiranga)
Hujanijua vizuri
Hili timbwili la vanga
(Mwenye kiranga)
Ooh leo mbona umeyabananga
(Mwenye kiranga)
Mi maskini jeuri
Sitegemei madanga
(Mwenye kiranga)
MP3 DOWNLOAD
More hit song from Zuchu;