AUDIO

Ngweair – Mikasi

MP3 DOWNLOAD Ngweair - Mikasi
MP3 DOWNLOAD Ngweair – Mikasi

Ngweair, born in Tanzania, is popularly known by the stage name Ngweair. He began his music career with the debut single titled Jah Love. Among his songs, the track that gave him major recognition is Mbaya Mbaya, which made him widely known in the Tanzanian music industry.

A Tanzanian artist, singer and songwriter, Ngweair has continued to impress fans with his unique sound and lyrical creativity. Over the years, he has released several projects that showcase his musical growth and versatility. His latest release titled Mikasi was produced by Kairo Beats.

SIMILAR: Suma Mnazaleti ft Ommy Dimpoz – Chukua Time

Ngweair – Mikasi Lyrics

Ni asubuhi ninaamka ninapiga mswaki
Kisha naenda kubath kuweka mwili safi
Narudi ghetto nafungua kabati
Nachukua pamba bling bling kwa chati
Na t-shirt ya black na jeans ya khaki
Na chini nina simple white tisha za nike
Kisha mzee najipulizia marashi
Nanukia safi

Niko na machizi wa chambers squad na darky
Tunawapigia simu rich coast wako wapi
Tunakutana mitaa ya chaga bite
Asubuhi tunapata zetu supu kwa chapati
Na mitungi ya kupotezea wakati
Ukitaka fegi mezani kuna pakti
Iwe sport au sm au emb-ssy
Hapa utakula raha mpaka mwenyewe utasema basi

MP3 DOWNLOAD
kichwahits.com

Chek More Track From Marioo;

Leave a Comment