MP3 DOWNLOAD Navy Kenzo Ft Nandy – Bampa 2 Bampa
The Industry presents Navy Kenzo (Group of Two “Aika” & “Nahreel”) back with a good vibe titled Bampa 2 Bampa featuring Nandy The African Princess.
Hatimaye Nyimbo iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu aliyoshirikishwa Nandy “The African Princess” Kwenye Album tarajiwa ya Navy Kenzo iendayo kwa jina la STORY OF THE AFRICAN MOB imedondoka rasmi leo.
SIMILAR: Navy Kenzo – Chelewa Bokodo
Navy Kenzo Ft Nandy – Bampa 2 Bampa Lyrics
Upendo usitie vigingi
Kitandani mwendo wa bakora
Kichwani ibaki vumbi
Meno kusaga mkongora
Ninavoliseti ilo keti
Natema sumu ka dondora
Maji kulowesha nyeti
Kifo cha mende kuchochora
MP3 DOWNLOAD
More hit songs from Navy Kenzo;