NYIMBO ZA DINI

Angel Bernard – Asante

DOWNLOAD MP3 Angel Bernard – Asante
DOWNLOAD MP3 Angel Bernard – Asante

Nimeandika huu wimbo kama ishara ya shukurani kwa Mungu. Nimemuona Mungu akinitetea sana katika safari ya maisha ambayo amenipa. Mwaka 2006 nilifanya album iliyoitwa Yote Yalikwissha, 2010 nilifanya album inayoitwa Nakuabudu Milele, na Mwaka 2015 nilifanya album ya New Day na 2016 nikafanya Amplified Version ya album hiyo ya New Day. Utagundua kumekuwa na album mpya kila baada ya Miaka 5.

RELATED: Angel Benard – I Still Believe

Kila season imekuwa na madarasa mengi ambayo maneno hayatoshi kuelezea mambo ambayo Mungu amekuwa akifanya. Katika maandalizi ya Album hii ya Tano inayoitwa Turning around. Nilisikia msukumo wa kusema ASANTE kwa MUNGU. Ninaamini kila m moja ana kila sababu ya Kumshukuru Mungu. Hasa baada ya pito lililotishia dunia (covid).

DOWNLOAD MP3

Leave a Comment