E NEWS

Hii Ndio Couple Maarufu Mitandaoni Kwa Sasa Ni Ya Grand P Na Eudoxie (+Picha)

Hii Ndio Couple Maarufu Mitandaoni Kwa Sasa Ni Ya Grand P Na Eudoxie (+Picha)
Written by Kichwa
Hii Ndio Couple Maarufu Mitandaoni Kwa Sasa Ni Ya Grand P Na Eudoxie (+Picha)

Jamaa Anaitwa Moussa Sandiana Kaba, Jamaa Alizaliwa Mnamo Mwaka 1990 Huko Guinea, Ni Msanii Wa Muziki, Muigizaji Vile Vile Politician

Grand P inaaminika kuwa anaugua progeria, ugonjwa nadra sana wa maumbile ambao unazaliwa na kuzeeka mapema na mara nyingi huanza wakati wa kuzaliwa
.
Grand P pia alijulisha nia yake ya uchaguzi wa rais nchini Guinea. Kwa maneno yake: “Ninawania Urais wa 2020. nisikilize! Nitakuja kwa nguvu.

RELATED: Ugomvi wa Shilole na Mme wake, Baba Levo atia neno.

Grand P na mwanamtindo wa Ivory Coast, Eudoxie Yao walijulikana kwa picha zao ambazo zilisambaa mtandaoni. Ingawa uhusiano wao haujathibitishwa kama ni wakweli au kiki.

Tazama hapa picha za mwanamitindo wa Ivory Cost Eudoxie Yao

Zoezi la kuongeza ukubwa wa uume bila kutumia dawa.

Leave a Comment