LIFESTYLE

Makosa 7 Usimfanyie Mwanamke Wako

Makosa 7 Usimfanyie Mwanamke Wako
Written by Kichwa

Wanaume wengi wamekuwa wakijaribu kuishi vizuri na wenzi wao ila leo kichwahits itaongelea mambo makuu 7 ambayo hupaswi kumfanyia mwanamke.

Makosa 7 Usimfanyie Mwanamke Wako

1. Usimpige

2. Usimdhalilishe kwa kauli na matendo

3. Usimvunjie heshima

4. Usimfanye ahisi kuwa hapendwi

5. Usimbake6. Usimsaliti

7. Usipuuze lugha zake za mahabba.

Isikupite Hii: Makosa 7 Usimfanyie Mwanamke Wako

Mpe wema, atakupa Upendo Mpe tabasamu, atakupa Kicheko Mpe moyo wako, atakupatia Maisha Yake Mpe nyumba, atakupa Makazi na utulivuMpe wazo, atakupatia mpango.amiliana naye kama Malkia, atakufanya kuwa Mfalme. Mpende, atajikabidhi kwako!! Wa Kwangu Anayeniheshimu Hakosi Haya.

Ngoma 10 Bora za Mwezi may, 2020.

Leave a Comment