LIFESTYLE

Sms 10 Za Kumfanya Mpenzi Wako Ajisikie Vizuri Kimahaba Hata Kama Mko Mbali

Sms 10 Za Kumfanya Mpenzi Wako Ajisikie Vizuri Kimahaba Hata Kama Mko Mbali
Sms 10 Za Kumfanya Mpenzi Wako Ajisikie Vizuri Kimahaba Hata Kama Mko Mbali

1. Najaribu kulala lakini nashindwa kuacha kukufikiria wewe na vitu ambavyo ungekuwa unanifanyia muda huu.

2. Nimejilaza kitandani nimeukumbatia mto ishara ya kukukumbuka wewe.

3. Nimekumbuka kucheza na wewe mpenzi wangu!

4. Umevaa nini muda huu?

5. Unaweza kukisia rangi ya nguo yangu ya ndani?

Isikupite Hii: Makosa 7 Usimfanyie Mwanamke Wako

6. Miguu yangu imeikumbuka miguu yako katikati yake.

7. Nimenunua nguo ya ndani mpya nina shauku ukija nikuonyeshe.

8. Kama ningekuwa wewe muda huu, ungehitaji nikushike wapi?

9. Natamani tungekuwa wote muda huu.

10. Nahisi baridi ingawa niko ndani ya blanketi, nimekumbuka joto lako.

Leave a Comment