STORY

SIMULIZI: Kijiji Cha Muono Sehemu ya Kwanza Mp3 Download

SIMULIZI Kijiji Cha Muono Sehemu ya Kwanza Mp3 Download
SIMULIZI Kijiji Cha Muono Sehemu ya Kwanza Mp3 Download

Mtunzi: Hans Masleen.

KIJIJI CHA MUONO ni Hadithi yenye visa vya kubuni iliyojaribu kuhakisi maisha halisi ya watanzania katika miaka ya huko nyuma ya vijijini. Imejaribu kuangazia jinsi watu walivyokuwa wakitumia ubaya (Uchawi) kuangamiza maisha ya wengine eidha bila sababu au kwasababu maalum.

Hadithi imeenda mbali zaidi na kuangazia maisha ya wanajamii wasioshiriki wala kuamini imani za kishirikina yaani walioelekeza imani zao kwa muumba pekee, maisha yao kwa ujumla na jinsi walivyopambana kuishi maisha hayo. Ipakue sasa kujua yaliyojili zaidi.

MP3 DOWNLOAD

SIMILAR: Barua ya Mapenzi

Leave a Comment