STORY

SIMULIZI: Ripoti Kamili Sehemu ya Kwanza Mp3 Download

SIMULIZI Ripoti Kamili Sehemu ya Kwanza Mp3 Download
SIMULIZI Ripoti Kamili Sehemu ya Kwanza Mp3 Download

Mwandishi: George Iron Mosenya

Msimulizi: Hilali Alexander Ruhundwa

Nimejifunza mengi katika maisha yangu, nimejifunza kuliweka wazi sikio langu kumsikiliza kila mtu iwe anazungumza upuuzi ama anajenga hoja chanya na madhubuti!!

Lakini yote juu ya yote, nafanya hivi lakini naweka maanani kitu kimoja tu. Ninakuruhusuni kunieleza lolote mnaloweza, ninakuruhusuni kunishauri lolote mnaloona linafaa kunishauri lakini aidha kuxchukua ushauri wenu na kuufanyia kazi hii inabaki juu yangu mimi na akili zangu!!!

Sio kila mtakalosema nitalifanyia kazi…
Hakuna gharama yoyote katika kusikiliza ila kuna gharama katika kufanyia kazi hayo uliyoyasikiliza.

Download sehemu ya kwanza ya Ripoti Kamili, usikilize na ujifunze

MP3 DOWNLOAD

SIMILAR: Kijiji Cha Muono Sehemu ya Kwanza Mp3 Download

Leave a Comment