STORY

SIMULIZI: Ripoti Kamili Sehemu ya Nne Mp3 Download

SIMULIZI Ripoti Kamili Sehemu ya Nne Mp3 Download
SIMULIZI Ripoti Kamili Sehemu ya Nne Mp3 Download

Mwandishi: George Iron Mosenya

Msimulizi: Hilali Alexander Ruhundwa

JIJINI Dar es salaam ni biashara iliyozoeleka kabisa ya vijana kuokota makopo tupu ambayo awali yalikuwa yametumika kuhifadhi maji ama vinywaji vingine baridi. Makopo haya tupu huuzwa kwa wanunuzi wa jumla ambao nao huyauza viwandani.
Hivyo shughuli za misiba, harusi na sherehe nyingine jijini Dar es salaam huzungukwa na vijana ama yeyote yule ambaye anafanya biashara hii. Wahudhuriaji mkinywa maji na kutupa makopo wao wanaokota.

MP3 DOWNLOAD

SIMILAR: Ripoti Kamili Sehemu ya Tatu Mp3 Download

Leave a Comment