E NEWS

Majina ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kidato cha Kwanza 2021 | Form One Selection 2021

Majina ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kidato cha Kwanza 2021 | Form One Selection 2021

Jumla ya wanafunzi 759,706 sawa asilimia 91.1 kati ya wanafunzi 759,737 waliokuwa na sifa za kujiunga na kidato cha kwanza, wamechaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2021.

Majina ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kidato cha Kwanza 2021 | Form One Selection 2021

TAMISEMI officially released the form one selection 2021 list for Primary School Leaving Examination (PSLE) candidates to join with   public secondary school for  academic year of 2021/2022 across Tanzania. This comes after NECTA to announce Primary School Leaving Examination (PSLE) 2020 examination results that conducted by students.

Uchaguzi huo umetangazwa leo Alhamis Desemba 17, 2020 na Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) Selemani Jafo.

Majina waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza 2021

Amesema kati ya idadi ya waliochaguliwa 368,174 ni wavulama na wasichana ni 391,532.

Amesema kati ya waliochaguliwa wanafunzi 4,169 wamechaguliwa kujiunga na shule za bweni, ambapo wanafunzi 970 watajiunga na shule za wanafunzi wenye ufaulu mzuri zaidi.

“Wanafunzi 1238 watajiunga na shule za ufundi, wanafunzi 1,961 watajiunga na shule za bweni za kawaida.

ORODHA YA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2021

Hata hivyo, Jafo amesema jumla ya wanafunzi 74,166 sawa na asilimia 8.9 wakiwamo wavulana 34,861 na wasichana 39,305 hawakupangiwa shule katika awamu ya kwanza kutokana na uhaba wa vyumba vya madarasa.

“Wanafunzi wenye sifa ambao hawakupangiwa shule katika awamu hii ya kwanza watapangiwa shule katika awamu ya pili kabla ya Februari 28 mwaka 2021,”amesema.

Jafo amesema  mikoa tisa ya Kagera, Katavi, Lindi, Mtwara, Mwanza, Njombe, Ruvuma, Songwe na Tabora imefanikiwa  kuwapangia shule wanafunzi wote waliofaulu kujiunga na kidato cha kwanza.

“Ninatoa wito kwa viongozi wa mikoa na halmashauri kushirikiana na wadau wa elimu kukamilisha majengo na kuandaa mazingira ya kuwapokea wanafunzi waliochaguliwa kuanza masomo yao Januari 2021, bila vikwazo vya aina yoyote ikiwemo michango mbalimbali ili kutekeleza mpango wa utoaji wa elimu bila

Majina waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza 2021

Leave a Comment