MP3 DOWNLOAD Wagosi Wakaya – Tanga
Wagosi wa Kaya, Tanzanian artist and songwriter from Tanga comes up with the new audio titled Tanga.
Welcome again, Today is a brand new day and It is our honor to present a brand new audio song from Wagosi Wakaya titled Tanga mp3 Download…..have it!
SIMILAR: Young Killer ft Banana Zorro – Umebadilika
Wagosi Wakaya – Tanga Lyrics
Tanga kwa kweli ni kijimji kidogo,
na pia kuna mambo ya uswahili si kidogo.
lakini habari zake kwa kweli ni kubwa,
na mji ule ukiuvamia kwa papara palee,
mengi yatakukumba!
Ukifika Tanga utatambuaje kama
kweli huu nd’o mkoa wa Tanga?
Utaona wanawake wengi pale
wamejifunika mabaibui na vijikanga.
Waume makanzu baraghashia, mkononi
MP3 DOWNLOAD
More hits song from Diamond Platnumz;