NEW AUDIO

Diamond Platnumz Ft Marioo – New song alert

MP3 DOWNLOAD Diamond Platnumz Ft Marioo – New song alert
MP3 DOWNLOAD Diamond Platnumz Ft Marioo – New song alert

Ebu ngoja kwanza, kama wewe ni mpenzi wa kuperezi mtandaoni basi lazima umekuta na picha mbalimbali ambazo zimezagaa kila pahali zikimwonyesha Diamond Platnumz akiwa na Marioo

Mengi yamezungumzwa na kuhusiana na hili swala, swali ni je tusubirie ngoma kutoka kwa wawili hao, maana wote ni wasanii pendwa sana katika muziki wa Bongo Flava.

Ama ni zaidi ya ngoma? Je WCB wanajipanga kumchukua na Marioo? Ebu toa maoni yako hapo chini….

SIMILAR: Marioo – Karma

Ama ni zaidi ya ngoma? Je WCB wanajipanga kumchukua na Marioo? Ebu toa maoni yako hapo chini….

Leave a Comment