E NEWS

PRESIDENT SAMIA’S TWEET.

A TWEET BY PRESIDENT OF TANZANIA TO MBOWE.

Nakupa pole Ndg. @freemanmbowetz (mwenyekiti wa CHADEMA) na wafiwa wote kwa kuondokewa na ndugu yenu mpendwa Charles Mbowe. Nawaombea moyo wa subira, uvumilivu na ustahimilivu katika kipindi hiki cha majonzi. Bwana ametoa, Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe. Amina.

This is the tweet made by the president of Tanzania Samia Suluhu Hassan to the Chairman of CHADEMA, as the greetings of condolences for the death of their relative Charles Mbowe.

Leave a Comment