NEW AUDIO

Professor Jay – Kikao cha dharura

MP3 DOWNLOAD Professor Jay - Kikao cha dharura
MP3 DOWNLOAD Professor Jay – Kikao cha dharura

Joseph Haule, popularly known by his stage name Professor Jay, is a Tanzanian rapper, songwriter, politician, and former member of the Tanzanian parliament for Mikumi constituency.

Tanzanian politician, rapper, songwriter Joseph Haule popularly known by his stage name Professor Jay, came through with a new hits titled  Kikao cha dharura.

SIMILAR: Professor Jay – Utaniambia Nini

Professor Jay – Kikao cha dharura Lyrics

Nashukuru sana wananchi kwa kuweza kunipa kura
Nashangaa nimeitwa ghafla kwenye kikao cha dharura
Kikao kinaashiria kina maswali juu yangu
Hii inatokana na ndio mzee na ahadi zangu
Naona watu ni wengi wananchi walio na maana
Najaribu kutafakari ni nini kinawachanganya
Nipo tayari kujibu maswali yeni zamu kwa zamu
Watako uliza maswali ningependa kuwafahamu
“Naitwa sajenti Bihonerwa kwa niaba ya Jeshi la polisi, nilikuwa nnauliza zile Helkopta zetu vipi?”

Nafikiria kuanzisha kwanza chuo cha marubani
Vinginevyo mtapata ajali nyingi sana angani
Baskeli hujui kuendesha helkopta utaendeshaje
Kila mtu aendeshe yake huko angani itakuwaje
“Mweshimiwa na sisi wakulima ulituahidi matrekta, na siku zinayoyoma tu mbona hujayaleta?”
Wakulima mngeendelea tu kutumia jembe la mkono
Serikari haina hela bajeti imefika kikomo
Naona kilimo cha mkono kinaendelea vizuri
Jamani kazeni mikono endeleeni kukaza msuli

Wananchi tupo pamoja hapo (sio mzee)
Watanzania tumeelewana kule (sio mzee)
Washika dau na wapiga kula pale (sio mzee)
Ehh (sio mzee), eti (sio mzee)
Wakulima tupo pamoja pale (sio mzee)
Wanafunzi tumeelewana kule (sio mzee)
Mabamedi na mapolisi pale (sio mzee)
Ehh (sio mzee), eti (sio mzee)

MP3 DOWNLOAD

More hits song from Diamond Platnumz;

Leave a Comment