NEW AUDIO

Tmk Wanaume – Dar Mpaka Moro

MP3 DOWNLOAD Tmk Wanaume - Dar Mpaka Moro
MP3 DOWNLOAD Tmk Wanaume – Dar Mpaka Moro

TMK Wanaume family is a group that hails from Temeke, Daresalaam, Tanzania. The group was originally a combination of 3 different groups that were doing very well on the Tanzanian music scene.

Welcome again, Today is a brand new day and It is our honor to present a brand new song from  Tmk Wanaume titled  Dar Mpaka Moro Mp3 Download…..have it!

SIMILARProf Jay ft Juma Nature – Zali la Mentali

Tmk Wanaume – Dar Mpaka Moro Lyrics

Haayaaaaaa!
Haaaayaaaaa!
Mshikaji wangu YP skiaa
Kuna mtoto mmoja nimemzimiaa
Anasema nimfuate Moro,

Kule wanakotoka Wapogoro
Yepo Nina sije, yeponi na sije
Tukimfuata tutaonekana wadhaifu!
Wee unaonaje, wee unachukuliaje
Kama vipi mtoto hatoshuka Dar?
Anasema kuja Dar hatoweza
Kwa nini??

Anahofia wazazi kumgombeza
Hiyo yote sababu yupo skuli
Akimaliza mbona itakua shwari
Usijifanye una uhakika wee Chege

MP3 DOWNLOAD

More hits song from Diamond Platnumz;

Leave a Comment