HARMONIZE

Harmonize atambulisha nyimbo zake mbili. Moja ya hit iyo inaitwa Teacher hii ikiwa na maana kwamba yeye ni zaidi kwenye muziki kwa wapinzani wake.

Kilofeshe Remix

Nyota huyu wa kizazi kipya Harmonize azidi kudhihirisha kwamba yeye ndie mwanamuziki pekee mwenye uwezo mkubwa wa kuandika nyimbo kuzidi wapinzani wake!! Siku ya leo 27/08/21 ameweza kutimiza ahadi yake kwa mashabiki wa kondegang kuwapatia kile alichoahidi.

Nyimbo izo alizozitambulisha ni TEACHER NA KILOFESHE (Remix). Nyota huyu wa kizazi kipya alisema kabla ya kuachia albam yake alioipa jina la HIGHSCHOOL ataitoa mala tu atakapoachia nyimbo zake izi mbili.

GoodNews, Mashabiki wa harmonize wamezipokea kwa ukubwa nyimbo izo mbili. Uwezi acha taja jina la harmonize katika majina 5 kama msanii bora wa kiume nchini Tanzania.

Leave a Comment