NEW AUDIO

Khaligraph jones ft Rayvanny – Chali ya ghetto

MP3 DOWNLOAD Khaligraph jones ft Rayvanny - Chali ya ghetto
MP3 DOWNLOAD Khaligraph jones ft Rayvanny – Chali ya ghetto

Brian Ouko Robert, (born 12 June 1990) popularly known by his stage name Khaligraph Jones and often referred to as “Papa Jones” is a Kenyan rapper known for his hit singles “Yego” and “Mazishi“, drop new hits song titled as Chali ya ghetto.

Chali ya ghetto, a new hits song performed by Khaligrah Jones featuring WCB artist and Next level music boss Rayvanny better known as Vanny Boy.

SIMILAR: Khaligraph Jones X Rostam – Now You Know

Khaligraph jones ft Rayvanny – Chali ya ghetto Lyrics

Wahenga walisema kizuri hujisell, na Kibaya hujitembeza
So i be doing it well, ndo niweke chakula kwa meza
You thought i was faking an L, but me and my team we never
So now i be keepin it real, mpaka waniweke kwa jeneza
Hii hustle ndo bado nachapa, so hapo ndo bado utanpata
Si vako ni jasho imefungwa milango ndo sahii collabo matata
Nahamisha matha kayole, mi nampeleka runda
Siz ameshamada kole, na mi nishabai kanyumba
Ni hizi mangoma natunga, ni vile matime hubidi
Nachanganya rap na rumba, naiweka mpaka na mugithi
Nipige video muone kwa Tv, nishike Nairobi pia na jiji
Akili ni nywele na zangu wacha tucompare, tuona nani gwiji
Buda alidedi akaniacha solo, Kashindwa njia gani ntafollow
Nikaanza kuslang makoro, nikaanza kuvaa magoro
Nikaacha kujam na sorrow, nikaanza maslang za yolo
Nikaanza kuhang na collo, Nikaanza kukam na mchoro

MP3 DOWNLOAD

More hit song from Khaligraph Jones;

Leave a Comment