LYRICS

Alikiba – Dodo Lyrics

Alikiba - Dodo Lyrics
Alikiba – Dodo Lyrics

Tanzanian top recording artist, singer-songwriter, footballer, and the owner of Kings Music label, Alikiba is here with a brand new banger tagged  Dodo, Below is the Dodo Lyrics by Alikiba.

Dodo Lyrics by Alikiba

Yeah (Ye Baba)

Kupenda ni vitendo
Si maneno maneno
Leo nakupa kitengo
Kwa kufika malengo

Umeziba mapengo
Kwa upendo upendo
Eeh bwana wala huzingui
Anzeni vikao vya send off yeah

Maana we mrembo nakujuza
Mama nashukuru umekuza
Chanda chema pete nitakutunza
Na maa ngoja wote wapuuza

Na umeshanizima
Na yoyoyoyoyo-your love
Na yoyoyoyoyo-your love
Na yoyoyoyoyo-your love
Your love your love

Na umeshanizima wee
Na yoyoyoyoyo-your love
Na yoyoyoyoyo-your love
Na yoyoyoyoyo-your love
Your love your love

Ka majani na udongo yeah
Nnje ya sayari nikuite kimondo oooh
Kama chungu ya kibongo
Na usiyape time yakutibue nyongo (No)

Maana we mrembo nakujuza
Maana nashukuru umekuza
Chanda chema pete nitakutunza
Na maa ngoja wote wapuuza

Na umeshanizima eh
Na yoyoyoyoyo-your love
Na yoyoyoyoyo-your love
Na yoyoyoyoyo-your love
Your love your love

Na yoyoyoyoyo-your love
Na yoyoyoyoyo-your love
Na yoyoyoyoyo-your love
Your love your love

Dodo, mama dodo (Dodo langu wewe)
Dodo, mama dodo (Hata utikisa halitodondoka)
Dodo, mama dodo (Dodo langu wewe)
Dodo, mama dodo (Dodo)

Dodo, dodo langu wewe
Dodo, dodo, dodo langu wewe
Hata utikisa halitodondoka

Mama muogopa, mama muogopa..
Mama muogopa, mama muogopa..

Alikiba – Dodo Mp3 Download

Check More Hits Song Alikiba;

Leave a Comment