LYRICS

Tommy Flavour ft Alikiba – Omukwano Lyrics

Tommy Flavour ft Alikiba – Omukwano Lyrics

Tanzanian recording artist signed under King’s Music record label, Tommy Flavour drop a new hits song titled Omukwano. Featuring Ali Saleh Kiba, a Tanzanian singer-songwriter and footballer better known as Alikiba. Below is the Omukwano Lyrics.

Omukwano Lyrics by Tommy Flavour

Hivi umeshushwa maana uko bie bomba
Na nimesitushwa na utamu peremende, blown out
Mapenzi kikubwa unayonimwagia 
Ni raha sana mama mama

Na leo nikifa nibaki jirudia
Ni take over, ni take over
Your mind eeh

Unanipress, unanipa raha no stress
Kukuvesha shenga sogezi
Tuombe Mungu abless

Beiby you are princess
Nikoshe smile on your face
Na tuombe kwa Mungu
Nizikwe na wewe daima

Omukwano o, naenjoy (Aaah aah aaah)
Penzi lako niko hoi (Aaah aah aaah)
Omukwano o, naenjoy (Aaah aah aaah)
Penzi lako niko hoi (Aaah aah aaah)

Omukwano oo, omukwamo o
Omukwano oo, omukwamo o

Mzima mzima kama chatu nimeze beiby
Nichange kama pesa ya patu nimake make
Oo sinyora (Sinyora ee)
Nitakuoa, nitakuoa

Usijali vile vimaskatu we uko na mimi
Oooh 

Unanipress, unanipa raha no stress
Kukuvesha shenga sogezi
Tuombe Mungu abless

Beiby you are princess
Nikoshe smile on your face
Na tuombe kwa Mungu
Nizikwe na wewe daima

Omukwano o, naenjoy (Aaah aah aaah)
Penzi lako niko hoi (Aaah aah aaah)
Omukwano o, naenjoy (Aaah aah aaah)
Penzi lako niko hoi (Aaah aah aaah)

Omukwano oo, omukwamo o
Omukwano oo, omukwamo o

Nitakupenda nitakulinda, mi nawe
Ooh my baby mimi nawe
Cause I got you 

Nitakupenda nitakulinda, mi nawe
O my mama mama mama iyeee

Tommy Flavour ft Alikiba – Omukwano Mp3 Download

Check More Hits Song Alikiba;

Leave a Comment