LYRICS

Belle 9 – Umefanana Nae Lyrics

Belle 9 - Umefanana Nae Lyrics
Belle 9 – Umefanana Nae Lyrics

Vitamin Music serial hit song maker artist Belle 9 came through with another amazing banger titled Umefanana Nae.

Umefanana Nae Lyrics by Belle 9

Oh baby mh oh baby

You remind machungu niliyopitia kwake
Miiba ya mapenzi sio mahala pake
Hizo vikuku na makope kama ye
Usinivideo call please I swear you look like her

I wish kama hungekuwa hujafanana naye
Sitaki kummiss maana mwisho haukuwa mzuri naye
I wish kama hungekuwa hujafanana naye
Sitaki kummiss mi maana sina mpango naye

Mwenzio alinikomesha
Aliponikoleza
Ghafla akanitonesha
Tokomeza singemove forever

Sometimes I don’t believe nilimpenda
Sometimes I don’t believe alikwenda
Sometimes I don’t believe nilimpenda
Sometimes I don’t believe nilimpenda

Umefanana naye, sura mwendo dimples
Umefanana naye, sura mwendo unge
Umefanana naye, sura mwendo dimples
Umefanana naye, sura mwendo

Sifa zote umetimiza wanipendeza
Huko nyuma niliyempoteza sikumweza
Malipo ya kumbembeleza ilikuwa gereza
Vita mwana kumdekeza akanipoteza

Hmm siwezi kurudisha siku nyuma(Hapana)
Ndoto zetu nyingi zilizima(Mchana)

Atleast ingekuwa white ingekuwa white
Alisha niforce nimpost na nimtake
Uongo ukizidi mapenzi ukweli uwake
Alikubali walafi chini ya laki na walilala naye

I wish kama hungekuwa hujafanana naye
Sitaki kummiss maana mwisho haukuwa mzuri naye
I wish kama hungekuwa hujafanana naye
Sitaki kummiss mi maana sina mpango naye

Mwenzio alinikomesha
Aliponikoleza
Ghafla akanitonesha
Tokomeza singemove forever

Sometimes I don’t believe nilimpenda
Sometimes I don’t believe alikwenda
Sometimes I don’t believe nilimpenda
Sometimes I don’t believe alinipenda

Umefanana naye, sura mwendo dimples
Umefanana naye, sura mwendo unge
Umefanana naye, sura mwendo dimples

Siwezi kurudisha siku nyuma(hapana)
Ndoto zetu nyingi zilizima(mchana)

Belle 9 – Umefanana Nae Mp3 Download

Chek More Track From Marioo;

Leave a Comment