LYRICS

Diamond Platnumz – Ntampata Wapi Lyrics

MP3 DOWNLOAD Diamond Platnumz ft Teni – Sound
Diamond Platnumz – Ntampata Wapi Lyrics

A top Tanzanian recording artist and WCB Wasafi serial hit sing maker, Boss Diamond Platnumz a.k.a Simba, came through will a new hits song titled Ntampata Wapi. Below is the Ntampata Wapi Lyrics written and performed by Diamond Platnumz.

Ntampata Wapi Lyrics by Diamond Platnumz

Sura yake mtaratibu
Mwenye macho ya aibu
Kumsahau najaribu
Ila namkumbuka sana

Umbo lake mahbibu
Kwenye maradhi alionitibu
Siri yangu ukaribu
Bado namkumbuka sana

Alionifanya silali (eh) jua kali (eh)
Nitafute tukale
Lakini hata hakujali, darling
Akatekwa na wale

Alionifanya silali (eh) jua kali (eh)
Nitafute tukale
Ila wala hakujali
Darling, ah-aah

Ntampata wapi, kama yule?
Niliompendaga sana

Ntampata wapi, kama yule?
Nae anipende sana

Ntampata wapi, kama yule?
Niliompendaga sana

Ntampata wapi, kama yule?
Nae anipende sana

Aii-aii, nyota
Nyota ndo tatizo langu
Aii, nyota
Mpaka nalia pekee yangu
Aii, nyota
Nyota ndio shida yangu
Nyota
Wamenizidi wenzangu

Alidanganywa na wale (wale)
Wenye pesa nyumba ghali (ghali)
Mi kapuku hakunijali (jali)
Akanimbia

Alidanganywa na wale (wale)
Wenye pesa nyumba ghali (ghali)
Mi mnyonge hakunijali (jali)
Akanikimbia

Alionifanya silali (eh) jua kali (eh)
Nitafute tukale
Lakini hata hakujali, darling
Akatekwa na wale (halo)

Alionifanya silali (eh) jua kali (eh)
Nitafute tukale
Ila wala hakujali
Darling, ah-aah

Ntampata wapi? (Oh wapi?) Kama yule
Niliompendaga sana
Ntampata wapi kama yule (oh sana)
Nae anipende sana

Ntampata wapi, kama yule? (penda sana)
Niliompendaga sana (nampenda sana)
Ntampata wapi kama yule (oh sana)
Nae anipende sana

Bado ananijia ndotoni (bado)
Ila nikiamka simwoni (bado)
Bado ananijia nikilala (bado)
Haki ya Mungu sio masiala

Bado ananijia ndotoni (bado)
Ila nikiamka simwoni (bado)
Bado anjia nikilala (bado)
Haki ya Mungu sio masiala

Yo touch clever (bado)
Hii ni sauti ya raisi (bado)
Iliomshindaga ibilisi (bado)
Kwa mwanadamu sio rahisi, aha
Kamwambie
Lazma ujue kutofautisha
Kati ya msalaba na jumuilisha
Kuna X na kuzidisha
Ni cheche (cheche)

Bado ananijia nkilala
Haki ya Mungu sio masiala

Diamond Platnumz – Ntampata Wapi Mp3 Download

More hits song from Diamond Platnumz;

Leave a Comment