LYRICS

Diamond Platnumz – Kesho Lyrics

MP3 DOWNLOAD Diamond Platnumz - Kesho
Diamond Platnumz – Kesho Lyrics

A top Tanzanian recording artist and WCB Wasafi serial hit sing maker, Boss Diamond Platnumz a.k.a Simba, came through will a new released song titled Kesho.

Kesho Lyrics by Diamond Platnumz

Mi nataka kesho twende nikupeleke nyumbani
Mi nataka kesho twende ukamuone mama
Mi nataka kesho twende nikupeleke nyumbani
Mi nataka kesho twende ukamuone mama

Kwanza kabisa ntanyonga Tai
Tshirt na Jeans ntatupa kidogo.
Unite Nasibu usiniite Dai
Asije kukuona muhuni akapandisha Mbogo…
Na ukifika uagize Chai
Savanna Takila uzipe kisogo…
Kuhusu mavazi kimini haifai
Tupia pendeza ila za Hekima Logo…

Even though wanaponda we ni kicheche
Waambie ndo chaguo langu sasa wanicheke
Even though, wanaponda we ni kicheche
Waambie ndo chaguo langu sasa wanicheke

Minataka kesho twende nikupeleke nyumbani
Mi nataka kesho twende ukamuone mama
Mi nataka kesho twende nikupeleke nyumbani
Mi nataka kesho twende ukamuone mama

Usilete swaga za Nainai
Ukanyoa kiduku kama Moze Iyobo.
Eti shopping twende Tai
Wakati Dadaangu ana duka kigogo.
Ukikuta Nguna usikatae
We zuga unapenda hata kama wa Muhogo.
Kuhusu kabila mbona Sadai
Mama angu hana noma hata kama Mgogo

Even though wanaponda eti we ni kicheche
Waambie ndoo chaguo langu sasa wanicheke
Even though wanaponda we ni kicheche
Waambie ndo chaguo langu sasa wanicheke

Mi nataka kesho twende nikupeleke nyumbani
Mi nataka kesho twende ukamuone mama
Mi nataka kesho twende nikupeleke nyumbani
Mi nataka kesho twende ukamuone mama

Mama yangu mama…
Mama Naseeb mama…
Mama Diamond mama…
Mama yangu nyumbani…
Mama Chali mama…
Mama Sepetu mama…
Mama Kidoti mama…
Kwa mama Diamond nyumbani…

Mi nataka kesho twende nikupeleke nyumbani
Mi nataka kesho twende ukamuone mama
Mi nataka kesho twende nikupeleke nyumbani
Mi nataka kesho twende ukamuone mama

Diamond Platnumz – Kesho Mp3 Download

More hits song from Diamond Platnumz;

Leave a Comment