AUDIO

Kala Jeremiah ft Nay Lee – Wale Wale

MP3 DOWNLOAD Kala Jeremiah ft Nay Lee - Wale Wale
MP3 DOWNLOAD Kala Jeremiah ft Nay Lee – Wale Wale

Kala Jeremiah, a well-known Tanzanian artist/band, artist, and songwriter, comes up with new hits song titled  Wale Wale, Featuring Nay Lee.

SIMILAR: Kala Jeremiah – Malkia

Kala Jeremiah ft Nay Lee – Wale Wale Lyrics

Rest in peace kawawa karume baba nyerere
Mlipanda mahindi sasa vipi hawa ngedere
Wameshiba tuna njaa
Hawaijui shida ya mtaa
Wamekula kila kitu wakajibanza juu ya paa
Leo twiga anapanda ndege mmang’ati anapunga mkono
Nikisema no! Ni nani ataniunga mkono
Kipigo cha daktari siyo dawa ya huo mgomo
Let me stay concious usinizibe mdomo
Damu ya mwangosi inageuka promo
Inawafuata mpaka uani mnakopaki hizo limo
Mpiga kura mmembana kama mjusi chini ya mlango.
Mwanafunzi anarudishwa kisa hela ya mchango
Baba hana hata mia anadaiwa hela ya pango
Daily ugali na bamia mama akishauza matango
Ndo life ya kibongo tajiri mpe bia masikini gongo

MP3 DOWNLOAD

More hits song from Diamond Platnumz;

Leave a Comment