NEW AUDIO

Dulla Makabila – Ujaulamba Lyrics

MP3 DOWNLOAD Dulla Makabila - Ujaulamba
Dulla Makabila – Ujaulamba Lyrics

Tanzania recording Singeli artist and hitmaker of Miss Buza together with Rayvanny Dulla Makabila came through with a brand new banger titled Ujaulamba. Below are the Ujaulamba Lyrics written and performed by Dulla Makabila.

Ujaulamba Lyrics by Dulla Makabila

we don kiwango
iih, ooh
iiih, ooh

mara kumi uone nakubania, bora lawama
ndugu kuliko fedheha, tunapoelekea watu ndo wameenea
kama hujatupia wanakuch0m+lea, ona nilivyotupia japo sina mavumba
ila hivyo ulivyo we, wanakuona mshamba
aah, siwezi kwenda na wewe, sababu hujaulamba

yaani we bora utulie nyumbani, mwanangu hujaulamba
aah, micheni wa dogo ngote, mwanangu hujaulamba
jamani we bora utulie nyumbani, mwanangu hujaulamba
dulla nimetoka mbali, mpaka namiliki gari
lawama zako mimi sijali, kaulambe kama unataka safari

makabila nimetoka mbali, mpaka namiliki gari
lawama zako chembe sijali, kaulambe kama unataka safari
aah siwezi kwenda kokote, sababu hujaulamba
jamani we bora utulie nyumbani, sababu hujaulamba
hebu mtazame mkubwa fella, we jinsi alivyoulamba

hebu kamtazame babu tale, jinsi alivyoulamba
hebu kamtazame najimeka, jinsi alivyoulamba
hebu kamchungulie na timba, anavyoulamba
hebu kamtazame na manzi, anavyoulamba

mwanangu bora utulie nyumbani, sababu hujaulamba
machebe cheza singeli, we singeli
na baloteli singeli, we singeli
we na razack singeli, we singeli

eh mamy singeli mama, we singeli tena, we singeli baba
we singeli, juma dabo piga ngoma, weka goma
mark sunge piga ngoma, weka goma
mtu peace piga ngoma, weka goma

Dulla Makabila – Ujaulamba Mp3 Download

More hit song from Dulla Makabila;

Leave a Comment