LYRICS

Professor Jay Ft Jose Chameleone – Ndivyo Sivyo Lyrics

MP3 DOWNLOAD Professor Jay Ft Jose Chameleone - Ndivyo Sivyo
Professor Jay Ft Jose Chameleone – Ndivyo Sivyo Lyrics

Tanzanian politician, rapper, songwriter Joseph Haule popularly known by his stage name Professor Jay, came through with a new hits titled  Ndivyo Sivyo, Featuring Ugandanian artist Jose Chameleone. Below is the Ndivyo Sivyo Lyrics written and performed by Professor Jay Ft Jose Chameleone.

Ndivyo Sivyo Lyrics by Professor Jay Ft Jose Chameleone

Unavyodhani Ndivyo sivyo
Maisha ni safari isiyokuwa na likizo (nalikizo yo yo)
Naongeza msistizo tena usimsahau
Mtu mwenye matatizo (mama yo yo)

Wangapi walikua nazo ona sasa hawana tena
Wamebaki naviulizo (vingi viulizo)
Walioitwa maskini leo wamezipata imekua ndivyo sivyo
(Ndivyo sivyo sivyo ndiyo)

Eh! tusaidiane kwenya raha na shida
Usimdharau mwenye nja kwakua we umeshiba
Maisha safari ndefu sio eleweka
Leo uko hapa unalia mwenzako kule anacheka

Usimutuze tu mwenye nyumba na gari
Kumbuka umaskini na utajiri zote hadhi
Unavyodhani ndivo sivyo sivyo ndivyo
Dunia hivyo ndilivio kuna rah na matatizo

Kama leo umepewa basi mushukuru mumba
Kama umekosa ongeza bidi na sio ndumba
Mwenzio akiwa ana thama murushie kamba
Sikia kilio cha watu wazima Bongo Mpaka Uganda!

Unavyodhani Ndivyo sivyo
Maisha ni safari isiyokuwa na likizo (nalikizo yo yo)
Naongeza msistizo tena usimsahau
Mtu mwenye matatizo (mama yo yo)

Wangapi walikua nazo ona sasa hawana tena
Wamebaki naviulizo (vingi viulizo)
Walioitwa maskini leo wamezipata imekua ndivyo sivyo
(Ndivyo sivyo sivyo ndiyo)

Never under estimate
And learn to appreciate
No matter situation, persevere and tolerate
Don’t get hooked by the bait
Life is life, no matter what the time and date
Take a little more time, sit and concentrate
It’s J. Chameleone, Professor in a new duet!

Unavyodhani Ndivyo sivyo
Maisha ni safari isiyokuwa na likizo (nalikizo yo yo)
Naongeza msistizo tena usimsahau
Mtu mwenye matatizo (mama yo yo)

Wangapi walikua nazo ona sasa hawana tena
Wamebaki naviulizo (vingi viulizo)
Walioitwa maskini leo wamezipata imekua ndivyo sivyo
(Ndivyo sivyo sivyo ndiyo)

Unaedhani ana afya kumbe ndio ana ngoma
Usimini kila kitu ambacho macho yaona
Wangapi wana magari na kumbe yote ya mkopo
Benki ikiwadai wanarudi kwenye msoto

Usi ishi kwenye ndoto, maisha upange wewe
Anapanga ama nani muombe ili upewe
Usimdharau mtu kwa kua yeye yuko simple
Kumbe akili yake ina nguvu zaidi ya kingkong

Mama yoooo!
Munno bwolaba talina muwe Plani
Tomukuba mgongo omulanga Bisiraani
Oyo gwonyoma nti talina Plani
Ebyensi bikyuka mungu yayina Mizani

Tonyoma njala gweluma talina musango
Toduulira mwavu tomukuba mugongo
Ani yali amanyi nti ndikuba ebidongo
Maisha kama kamari bora itumie ubongo

Unavyodhani Ndivyo sivyo
Maisha ni safari isiyokuwa na likizo (nalikizo yo yo)
Naongeza msistizo tena usimsahau
Mtu mwenye matatizo (mama yo yo)

Wangapi walikua nazo ona sasa hawana tena
Wamebaki naviulizo (vingi viulizo)
Walioitwa maskini leo wamezipata imekua ndivyo sivyo
(Ndivyo sivyo sivyo ndiyo)

Unavyodhani Ndivyo sivyo
Maisha ni safari isiyokuwa na likizo (nalikizo yo yo)
Naongeza msistizo tena usimsahau
Mtu mwenye matatizo (mama yo yo)

Wangapi walikua nazo ona sasa hawana tena
Wamebaki naviulizo (vingi viulizo)
Walioitwa maskini leo wamezipata imekua ndivyo sivyo
(Ndivyo sivyo sivyo ndiyo)

Professor Jay Ft Jose Chameleone – Ndivyo Sivyo

More hits song from Professor Jay;

Leave a Comment