NYIMBO ZA DINI

Ambassadors Of Christ Choir – Kwetu Pazuri

MP3 DOWNLOAD Ambassadors Of Christ Choir - Kwetu Pazuri
MP3 DOWNLOAD Ambassadors Of Christ Choir – Kwetu Pazuri

Ambassadors of Christ Choir, a church choir based in Kigali, Rwanda that is affiliated with the Seventh-Day Adventists. It was founded in 1995 and has since grown to become one of the well-recognized music assemblages in the country. Their aim is to spread the message of God through songs.

Rwandans Gospel song singers famous known as   Ambassadors of Christ Choir come up with the new hit gospel song titled  Kwetu Pazuri

SIMILAR: Bahati Bukuku – Dunia Haina Huruma

Ambassadors Of Christ Choir – Kwetu Pazuri Lyrics

Ninayo hamu kurudi nyumbani
Nyumbani kwetu ambapo hatutatengana
Hapo nyumbani kwetu hakuna makaburi
Wala hakuna vyandarua maana hakuna malaria
Kwetu ni pazuri ni pazuri nakuambia
Najua nawe ndugu yangu unayo hamu ya kufika huko

Kwetu pazuri nimeshapakumbuka
Ninayo hamu kuishi na mwokozi wangu
Kwa amani na furaha tena ya ajabu
Sipati picha kwa watakaofika
kwetu mbinguni

MP3 DOWNLOAD

Also, check more tracks from other Gospel Song;

Leave a Comment