GOSPEL

Goodluck Gozbert – Kama si Wewe

MP3 DOWNLOAD Goodluck gozbert - Kama si Wewe
MP3 DOWNLOAD Goodluck Gozbert – Kama si Wewe

Goodluck Gozbert (born on April 12, 1991), a Tanzanian gospel singer known for his soulful sound and his punchy spiritual lyrics. He currently resides in Dar es Salaam but his birthplace is in Mwanza.

Tanzanian Gospel artist and “Shukrani“ hitmaker, Goodluck Gozbert is back with another stunning banger titled  Kama si Wewe.

SIMILAR: Goodluck Gozbert – Kampeni

Goodluck Gozbert – Kama si Wewe Lyrics

Na wala sio sababu ya jina langu
Wala sio sababu ninafaa
Najua sio sababu ya sadaka zangu
Maana ndio bado nina shangaa
Nilijua kwamba nimeshapoteza nafasi
Mimi ni nani kwani nakosa neno kusema
Ooh unisamehe, sikujua unanipenda hivi
Umefanya bure, sawa na upendavyo
Ume ruhusu niwe vile upendavyo
Nitakushukuru tu, kwa neema
Asante tu, kwa wema
Ninakushukuru tu, kwa neema
Asante tu, kwa wema

MP3 DOWNLOAD

Other related tracks from Goodluck Gozbert;

Leave a Comment