LYRICS

Alikiba Ft Khaligraph Jones – Habibty Lyrics

MP3 DOWNLOAD Alikiba - Oya Oya
Alikiba Ft Khaligraph Jones – Habibty Lyrics

Tanzanian singer and songwriter, Alikiba unleashed out a new mind-blowing soundtrack titled “ Habibty”. The new song by Alikiba “ Habibty” was taken off his new studio project tagged “Only One King Album” which houses 16 solid tracks. Below are the Habibty Lyrics written and performed by Alikiba Ft Khaligraph Jones.

Habibty Lyrics by Alikiba Ft Khaligraph Jones

Ni wivu gani au ni kitu gani
Hatuelewani lolote
Kwani kisirani niko mashakani
Na date vipi hawa wote

Endapo hunifuati
Hio namba ikiliko ikate
Wengi wananimezea mate
Ooh mi ndio baby yako pekee

Aiii, oh my, aai oh my
Akili yangu unaigonga
Jinsi wanakupenda unakoma
Baby

Habibty, Habibty, Habibty
Habibty, Habibty, Habibty
Habibty, Habibty, Habibty
Habibty, Habibty, Habibty

[Khaligraph Jones]
Kwako mi nishabigy hadithi za wanafiki no
Voice yako clarity

Aiii, oh my, aai oh my
Akili yangu unaigonga
Jinsi wanakupenda unakoma
Baby

Habibty, Habibty, Habibty
Habibty, Habibty, Habibty
Habibty, Habibty, Habibty
Habibty, Habibty, Habibty

Alikiba Ft Khaligraph Jones – Habibty Mp3 Download

Check More Hits Song Alikiba;

Leave a Comment