NYIMBO ZA DINI GOSPEL

Boni Mwaitege – Tumekuja kukuchukua

DOWNLOAD MP3 Boni Mwaitege – Tumekuja kukuchukua
DOWNLOAD MP3 Boni Mwaitege – Tumekuja kukuchukua

Tanzanian born, gospel recording artist, Bonny Mwaitege is well known for his hit song Mke WanguFungua Moyo WakoNisamehe and Njoo ufanyiwe, is back with another stunning banger titled Tumekuja kukuchukua.

SIMILAR: Mercy Masika – Nivute

Boni Mwaitege – Tumekuja kukuchukua Lyrics

Tunatimiza maandiko
Tumekuja kukuchukua
Kama ilivyoandikwa
Tumekuja kukuchukua wewe
Mtu ataacha wazazi wake
Tumekuja kukuchukua

Ataambatana na mumewe,
Tumekuja kukuchukua
Bibi arusi twende wee,
Tumekuja kukuchukua
Malkia wetu twende,
Tumekuja kukuchukua
Usiogope twende,
Tumekuja kukuchukua
Yanatimizwa maandiko,
Tumekuja kukuchukua

MP3 DOWNLOAD

Also, check more tracks from Walter Chilambo;

Leave a Comment