NEW AUDIO

Stamina Ft Jux – Alisema

MP3 DOWNLOAD Stamina ft Jux - Alisema
MP3 DOWNLOAD Stamina ft Jux – Alisema

Stamina Shorwe Bwenzi is an artist, singer, songwriter and rapper from Tanzania. Stamina together with Roma form Rostam a hip-hop duo in Tanzania comes with the new song featuring Jux titled Alisema.

SIMILAR: Stamina Ft Professor Jay & One Six – Baba

Stamina ft Jux – Alisema Lyrics

Sio kila mchaga muuza duka, so nisiogope kuitwa mangi
Kupanda na kushuka, ndio chart isiyohitaji rangi
Bora kuitwa mshamba, kwenye group la matapeli
Subira ikikosa kamba, nijipange kuivuta heri
Alisema nisilete uchizi, mbele ya daktari wa akili
Nisiwe na hasira za mkizi, ili mvuvi anifanye dili
Kukosa na kupata, ndio mechi isiyokua na draw
Kama maisha karata, mchangaji nimkabe koo{ooooh}

Madawa ya kulevya, niogope yatanipa uchizi
Maishani nisiwe dereva, kwenye basi la wazinzi
Kengeza ndo macho yangu, nisimcheke mwenye chongo
Nipendezeshe maisha yangu, kama dressing table ya mkongo
Nisile ada kisa demu, mapenzi hayana mradi
Maisha ni ps game, hayachezeki bila pad
Elimu ya mtaani, niijue ili nikuze ukoo
Ila elimu ya darasani, nisihitimu bila ya joh{alisema}

MP3 DOWNLOAD

Other related tracks from Stamina;

Leave a Comment