LYRICS

Aslay – Chuki Lyrics

MP3 DOWNLOAD Aslay - Chuki
Aslay – Chuki Lyrics

Top-rated Tanzanian young stars and Pusha hit song maker, Aslay is back with a brand new banger titled  Chuki. Below are the Chuki Lyrics written and performed by Aslay.

Chuki Lyrics by Aslay

Hashir
Ola la-la la
Maadui
Wamenizidi Pesa na umri
Nashangaa
Sijui
Au tuseme Nina kiburi
Nakataa
Wanidai siwadai
Ila nashangaa wananichukia
Chuki zisizosababu
Wanachinja mbuzi kafara
Ili Aslay apotee
Ona wanvyomwaga hela
Eh mungu Baba unitetee
Wanamiliki mavogivogi
Wanashindana na me dongotee
Wana wish hataa niishiwe kodi
Ni tange tange
Wanizomee
Me myongeee
Nimlilie Nani Kama si wewe
Kisa tonge
Wanabania waniondoeee

Ila
Me najikaza hvo
Me najikaz
Najikaza hvo hvo
Me najikaza hvo
Me najikaz
Najikaza hvo hvo(Wanasema nalewaa)

Me najikaza hvo
Me najikaz
Najikaza hvo hvo
Me najikaza hvo
Me najikaz
Najikaza hvo hvo(Ety Aslay kaishiwa)

Ma-fungu saba
Ridhiki unagawa tu maanani
We-ngine labda
Wanataka kushindana nawe
Mmmh mpaka napiga magoti (magoti)
Namlilia mama (mama)
Kisha narudi kwako
Umlaze salama
Sawa nyinyi manoti notiii
Tutakutana kiyama
Mnyonge narudi kwako
Kwako maulana

Wanachinja mbuzi kafara
Ili Aslay apotee
Ona wanvyomwaga hela
Eh mungu Baba unitetee
Wanamiliki mavogivogi
Wanashindana na me dongotee
Wana wish hataa niishiwe kodi
Ni tange tange
Wanizomee
Me myongeee
Nimlilie Nani Kama si wewe
Kisa tonge
Wanabania waniondoeee

Ila
Me najikaza hvo
Me najikaz
Najikaza hvo hvo
Me najikaza hvo
Me najikaz
Najikaza hvo hvo(Wanasema nalewaa)

Me najikaza hvo
Me najikaz
Najikaza hvo hvo
Me najikaza hvo
Me najikaz
Najikaza hvo hvo(Ety Aslay kaishiwa)

Aslay – Chuki Mp3 Download

More hit song from Aslay;

Leave a Comment