LYRICS

Les Wanyika – Sina Makosa Lyrics

MP3 DOWNLOAD Les Wanyika - Sina Makosa
Les Wanyika – Sina Makosa Lyrics

Tanzanian band artists, singers, and songwriters better known as Les Wanyika released a hits song on back days titled Sina Makosa. Below are the Sina Makosa Lyrics written and performed by Les Wanyika.

Sina Makosa Lyrics by Les Wanyika

Hasira za nini wee bwana
Hasira za nini wee bwana
Wataka kuniua bure baba
Wataka kuniua bure baba

Yule si wako
Nami si wangu
Chuki ya nini kati yangu
Mimi na wewe
Chuki ya nini kati yangu
Mimi na wewe

Hasira za nini wee bwana
Hasira za nini wee bwana
Wataka kuniua bure baba
Wataka kuniua bure baba

Kwako hayuko
Kwangu hayuko
Chuki ya nini kati yangu
Mimi na wewe
Chuki ya nini kati yangu
Mimi na wewe

Hasira za nini wee bwana
Hasira za nini wee bwana
Wataka kuniua bure baba
Wataka kuniua bure baba

Wewe una wako nyumbani
Nami nina wangu nyumbani
Chuki ya nini kati yangu
Mimi na wewe
Chuki ya nini kati yangu
Mimi na wewe

Nasema sina makosa wee bwana
Sina makosa wee bwana
Sina makosa wee bwana
Sina makosa wee bwana

Les Wanyika – Sina Makosa Mp3 Download

Check More Hits Song ZILIPENDWA;

Leave a Comment