AUDIO

Hussein Machozi – Kafia Ghetto

MP3 DOWNLOAD Hussein Machozi - Kafia Ghetto
MP3 DOWNLOAD Hussein Machozi – Kafia Ghetto

Hussein Rashid Juma (born October 06, 1986), better known by his stage name Hussein Machozi, is an African, Tanzanian R&b singer and songwriter. Born in Manyoni, Singida, Tanzania.

Welcome again, Today is a brand new day and It is our honor to present a brand new song from Hussein Machozi titled Kafia Ghetto Mp3 Download…… have it!

SIMILAR: Hussein Machozi – Jela

Hussein Machozi – Kafia Ghetto Lyrics

Siku nyingi binti namfukuzia
Alishantosa nishakata tamaa
Sikujua kama kwangu angekuja
Nilitoa matumaini ya kumpata
Siku nyingi binti namfukuzia
Alishantosa nishakata tamaa
Sikujua kama kwangu angekuja
Nilitoa matumaini ya kumpata
(Leo hii kaja mwenyewe mchumba)

Ghetto kwangu mpaka ndani kaingia
(Nilimuuliza naeza kukusaidia)
Akacheka kisha akaniambia
Ombi langu lile amenikubalia
Siku zote alikuwa akinifikiria
Niliruka kwa furaha kubwa sana
Sikuamini kama mchumba ningempata
(Usilojua ni usiku wa giza)

MP3 DOWNLOAD

Also, check more tracks from Harmonize;

Leave a Comment