LYRICS

Maua Sama – Baba Jeni Lyrics

MP3 DOWNLOAD Maua Sama – Baba Jeni
Maua Sama – Baba Jeni Lyrics

The best female artist, songwriter, and singer Maua Sama the hitmaker of Iokote featuring Hanstone comes with the new song titled Baba Jeni. Below are the Baba Jeni Lyrics written and performed by Maua Sama.

SIMILAR: Darassa Ft Maua Sama – Tumepoteza Lyrics

Baba Jeni Lyrics by Maua Sama

Hivi wewe hufikiri hufikiri
Kuwa nawe siwezi, kweli siwezi
Kukupa moyo

Eti tuwe wawili wawili
Hizo share siwezi
Kwenye mapenzi utaniumiza moyo
Kwanza unanionaje pisi kali ya kwenda
Tena nina jina mimi
Nakuhifadhi unavimba, unavimba

Tena we na mashemeji
Akili kisoda aah kisoda
Niwe nawe wa nini
Hunifikishi Kigoma

Baba jeni bye bye, bye bye 
Baba jeni bye bye, bye bye 
Baba jeni bye bye, bye bye 
Baba jeni bye bye, bye bye 

Kwako nilijikwaa
Kimapenzi nilikusitiri tu mwenzangu
Basi show ata ungeweza
Ila nilituliza tu kamoyo kangu

Kebehi na gubu 
Sina raha roho juu juu
Baba utaniua kibudu
Bora nidisappear

Ey umesema ndo nanona
Aloniteka amesoma
Master ya mapenzi 
Sio Diploma ananipa mie

Tena we na mashemeji
Akili kisoda aah kisoda
Niwe nawe wa nini
Hunifikishi Kigoma

Baba jeni bye bye, bye bye 
Baba jeni bye bye, bye bye 
Baba jeni bye bye, bye bye 
Baba jeni bye bye, bye bye 

Bye bye, bye bye 
Bye bye, bye bye 

Maua Sama – Baba Jeni Mp3 Download

Also, check more tracks from Zuchu;

Leave a Comment