LYRICS

Alikiba & Christian Bella – Nagharamia Lyrics

MP3 DOWNLOAD Alikiba & Christian Bella - Nagharamia
Alikiba & Christian Bella – Nagharamia Lyrics

Alikiba, A musician from East Africa Tanzania, Signed Under Kings Music Label is back with new hits titled  Nagharamia Featuring Christian Bella, a Tanzanian singer-songwriter and footballer. Below are the Nagharamia Lyrics written and performed by Alikiba and Christian Bella.

SIMILAR: Alikiba – Utu Lyrics

Nagharamia Lyrics by Alikiba & Christian Bella

Maa aah ma aah iee

Ukimwona, kapendeza
Si utafikiri katokea mbinguni
Ni mtoto mkali kaumbika mamaa eeh
Nahisi kama nishawahi kumuona
(Kafanana na nani kwani ni nani demu fulani kama namjua)
(Kafanana na nani kwani ni nani demu fulani kama namjua)
Kiba wewewe yeyeye iee
Ali we yeyeyeye iee kama namjua
Kiba wewewe unamjua huyu demu
(Didididi) deeh

Iyeyeyeye (iye)
Iyeyeyeye (iye)
Iyeyeyeye (iye) iyee
Iyeyeyeyeee iyooh iye ooh

Namuona tu kasura kazuri ni binti fulani ye
Marashi mazuli na gari kali eh
(Ni kweli ampendezaa kama ni hurulaini mimi ni demu wangu huyo (ninagharamia)
(Ni kweli ampendezaa kama ni hurulaini mimi ni demu wangu huyo (ninagharamia)
Bella wewewewe ooh iee kwani vipi wewee (ninagharamia)
Bella wewewewe unamjua huyu dem
(Tiri didi)
(Tiri didi)

Oh no no nashindwa kuvumilia
Huyu mtoto kanipagawisha
Kila nikikutana naye
Moyo wangu unadundadunda
Nataka tu kujuana naye
Awe kama rafiki wangu
Labda moyo wangu itatulia tuliiia

Bella siachi raha kwa ubishi
Na mvumilivu hula mbivu ooh
Nishamaliza ngombe nzima
Kabaki mkia huyo

Oh mama azali azalii azali mwa si kitoko
Myifo balula ye, oya zali na bote naye,

Azali mwa si kitoko meifo balula yeye
Kuteka na ngai ye, mwasi na ngai, ye iye
Oye zali na mutema yeye
Na lingio, lingio, muema nga
Ngana sengi tobina mama

Katee, katee (kate) katika kata (kata)
Kate katee, Yako kata loketo mama,
Yaka katika, yaka katika
Yaka tobina mabina mboka
Katee, katee (kate) katika kata (kata)
Kate katee, Yako kata loketo mama,
Yaka katika, yaka katika
Yaka tobina mabina mboka
Katee, katee (kate) katika kata (kata)
Kate katee, Yako kata loketo mama,
Yaka katika, yaka katika
Yaka tobina mabina mboka
Katee, katee (kate) katika kata (kata)
Kate katee, Yako kata loketo mama,
Yaka katika, yaka katika
Yaka tobina mabina mboka

Aah, mabina mboka, yako kata loketo,
Mama ah ahh
Iye iye iye (iye)
Iyeyoyo,
Iyooah

Alikiba & Christian Bella – Nagharamia Mp3 Download

Check More Hits Song Alikiba;

Leave a Comment