Chidi Beenz Ft Mzee Yusuph – Mashaalah Lyrics
LYRICS

Chidi Beenz Ft Mzee Yusuph – Mashaalah Lyrics

MP3 DOWNLOAD Chidi Beenz - Big Fat Man
Chidi Beenz Ft Mzee Yusuph – Mashaalah Lyrics

Rashidi Abdallah Mohamed drumsticks known widely by the name of art as Chid Benz (born 1985 ) is a rapper’s music to hip hop from across Tanzania.

Mashaalah Lyrics by Chidi Beenz Ft Mzee Yusuph

Bongo flevaa
Bongo bongo bongo flevaa
Okay bongo fleva
Bongo bongo fleva
Mara nyingine najiuliza una uzuri wa namna gani na nashindwa pata jibu
Ukiwepo we ndo chanzo cha kunipoza nafsi yangu inapopatwa majaribu
Nakuamini bila ya amini we ndo dawa ya kunitibu
Naweza tamba nje kote ila kwako sithubutu siwezi hata kujaribu

Kote niliacha, ujinga sitaki
Usije ukaniacha nongwa sitaki
Kwa nisivyotaka, kwako haki
Bora kukupata o mama weeee

Kote niliacha, ujinga sitaki
Usije ukaniacha nongwa sitaki
Kwa nisivyotaka, kwako haki
Bora kukupata o mama weeee

Nipe raha za dunia niwe mtu kwenye watu
Sitaki kukukosea, tena kwa vidudu mtu
Penzi sitolichezea, kwako nikakosa vitu
We ndo wangu my dear, sikufananishi na mtu
Maashallah!

Kwanza desturi na mila mzuri wa tabia
Akili timamu sio tahira, mpole nikikosa
Hauna sura ya kuzira, mapenzi yako moto
Nawashinda tatu bila, bila bilaaaa.

Umenishika siwezi ongea
Wengine wote wamepotea,
Usiniache safarini, taratibu nasogea
Dar, moro, songea, rock city, nachingwea
Nchi zote tutakwenda wawili kama pair

Nipe raha za dunia niwe mtu kwenye watu
Sitaki kukukosea, tena kwa vidudu mtu
Penzi sitolichezea, kwako nikakosa vitu
We ndo wangu my dear, sikufananishi na mtu
Nipe raha za dunia niwe mtu kwenye watu
Sitaki kukukosea, tena kwa vidudu mtu
Penzi sitolichezea, kwako nikakosa vitu
We ndo wangu my dear, sikufananishi na mtu
Maashallah!

Labda ni macho yanayonizuzua
Ndo mana wazushi wanapenda kuzua
Labda ni figure inayonivutia
Ndio mana masela hawaishi kufatilia

Labda ni macho yanayonizuzua
Ndo mana wazushi wanapenda kuzua
Labda ni figure inayonivutia
Ndio mana masela hawaishi kufatilia

Nipe raha za dunia niwe mtu kwenye watu
Sitaki kukukosea, tena kwa vidudu mtu
Penzi sitolichezea, kwako nikakosa vitu
We ndo wangu my dear, sikufananishi na mtu

Nipe raha za dunia niwe mtu kwenye watu
Sitaki kukukosea, tena kwa vidudu mtu
Penzi sitolichezea, kwako nikakosa vitu
We ndo wangu my dear, sikufananishi na mtu

Maashallah!

Chidi Beenz Ft Mzee Yusuph – Mashaalah Mp3 Download

Other related tracks from Rayvanny;

Leave a Comment