Aslay – Totoa Lyrics
LYRICS

Aslay – Totoa Lyrics

MP3 DOWNLOAD Aslay - Totoa
Aslay – Totoa Lyrics

Top-rated Tanzanian young star and Pusha hit song maker, Aslay is back with a brand new banger titled Totoa. Below are the Totoa Lyrics written and performed by Aslay.

SIMILAR: Osama & Podo Ft Aslay – Homa Lyrics

Totoa Lyrics by Aslay

La la la laaa
Pole pole baby wangu
Uchungu ndo umekushika ee
Basi pole mpenzi wangu
Twende labour ukajifungue

Linanitoka chozi langu
Kuona unapiga kelele
Mi namuomba baba Mungu
Salama uweze ujifungue

Umenikumbusha mbali sana (sana)
Nimemkumbuka mama
Kumbe alipata taabu sana (sana)
Kunizaa mwana (mwana)

Subira nlisubiri nikakupata wewe
Nlivyokupata nkakupa mimba ili unizalie
Na leo nasubiri unitotolee
Jikaze mpenzi Mungu yupo na wewe akusimamie

Totoa totoa Mama
Shamba nshalipalilia
Totoa totoa mama
Nasubiri kuvuna
Totoa totoa mama
Wee ndo wangu my dear
Totoa totoa mama
Mungu alonijaalia

Ukijifungua dume nitachinja jogoo
Ukijifungua jike nitalichinja koo
Ukiniletea mapacha nitachinja kondoo
Ila hata ukikosa mimi bado ni wako

Kapambane na matusi wanayotoa manesi
Wewe usiwe mbishi jikazee ehh
Tena uwape nafasi huduma upate kasi
Baby usiwe mbishi jikaze

Umenikumbusha mbali sana (sana)
Nimemkumbuka mama (mama)
Kumbe alipata taabu sana (sana)
Kunizaa mwana (mwana)

Subira nilisubiri nikakupata wewe
Nlipokupata nkakupa mimba unizalie
Na leo nasubiri unitotolee
Jikaze mupenzi mungu yupo na wewe akusimamie

Totoa totoa Mama
Shamba nshalipalilia
Totoa totoa mama
Nasubiri kuvuna
Totoa totoa mama
Wee ndo wangu my dear
Totoa totoa mama
Mungu aalonijaalia

Totoa totoa mama
Huenda akawa moza wangu
Totoa totoa mama
Ama Isihaka
Totoa totoa mama
Huenda akawa chambuso
Totoa totoa mama
Huenda akawa shirko
Ye ye ye ye yeh
Wo wo wo wo
Totoa totoa mama totoa

Aslay – Totoa Mp3 Download

More hit song from Aslay;

Leave a Comment