Abdukiba Ft Alikiba – Kidela Lyrics
LYRICS

Abdukiba Ft Alikiba – Kidela Lyrics

MP3 DOWNLOAD Abdukiba Ft Alikiba - Kidela
Abdukiba Ft Alikiba – Kidela Lyrics

Abdukiba, A musician from East Africa Tanzania, Signed Under Kings Music Label is back with new hits titled Kidela, Featuring his brother Ali Saleh Kiba famous as Alikiba. Below are the Kidela Lyrics written and performed by Abdukiba and Alikiba.

SIMILAR: Abdukiba – Mubashara Lyrics

Kidela Lyrics by Abdukiba Ft Alikiba

Wangapi walikuwepoo
Chunga Sana
Tunao, Hatunao Tena

Muuogope mungu. {kidela}.
Duniani mapitooo. {kidela}
Mbele kuchunguu. {kidela}
Weee chungaaa sana
Muuogope mungu. {kidela}.
Duniani mapitooo. {kidela}
Mbele kuchunguu. {kidela}
Weee chunga sana

Azontoo
Azontoo
Azontoo
Azontoo
Azontoo
Azontoo

Teenda wema uwendeezakooo usingoje malipoo
hii dunia sio yako woooo woooo. {kidela}
kuishiii nawe miakaa yoote sisi kama ndugu zaaako
ukaiaibishaaaa nafsi yakoo woooo wooo {Kidelaa}
binadam aonekani mwema paka wema wayasemeee mema
kutulipa yakoo mema uliosema kwetu si mema
kutusemaa kila koona unayookwenda sisi si wema.
Kuishii nawe miakaa yootee tulichovuna nawe ulivuna

Hii Dunia si mbayaa (kidela)
walimwengu ndio wabaya (kidela)
hii Dunia si mbaya (kidela)
Binadam Wabaya
Muuogope mungu. (kidela)
Dunian mapitooo. (kidela)
Mbele kuchunguu (kidela)
We chungaaa sana
Muuogope mungu (kidela)
Duniaa mapitooo (kidela)
Mbele kuchunguu. (kidela)
Weee chungaaa sana

Azontoo
Azontoo
Azontoo
Azontoo
Azontoo
Azontoo

Jeuuriii Ya nini Soteee tuko chini ya jua
Ubabe wa nini ata wepia umezaliwa
Ungejizaaa mwenyewe. Apo sure
Kijana chunga sana
Kamaaa we Mnyama me Mnyama pia
Zaaa wako Umpangiee sheriaa
Binadam Aonekan mwema Mpaka wema Wayasemee mema
Kutulipa yako Memaa uliofanyaa kwetu Si memaaa
Kuiishi Nawee Miakaa yootee Tulichovuna Nawee ulivuna

Hii Dunia Si mbayaa. {Kidelaa}
Binadamu wabayaaa {kidelaaa}
Hii Duniaa si mbayaa {kidelaa}
Walimwenguu wabaya
Muuogope mungu {kidela}
Dunian mapitooo {kidela}
Mbele kuchunguu {kidela}
Weee chungaaa sana
Muuogope mungu. {kidela}
Duniaa mapitooo {kidela}
Mbele kuchungu {kidela}
Weee chungaaa sana

Azontoo
Azontoo
Azontoo
Azontoo
Azontoo
Azontoo

Wangapi walikuwepoo
Atunaooo Atunaoooo tena
Duniaa mapitoo mapitooo woo woo woo.
Dunia yakoo ya moyoniii. Hey
Bebey eh mapitooo woo woo.
Dunia ya mollah aye

Hii. Duniaa si mbayaa {kidelaa}
Walimwenguuu. {Kidelaa}
Hii. Duniaa si mbayaa {kidelaa}
Walimwengu wabaya

Hii Dunia yawenyewe mwenyewe
Si ya Mtu fulan labda fulani.
Duniaa duniaa mapitoo.
Duniaa si mbayaa walimwenguu wabayaa.
Inauma sana kumizwaaa mtimaa.
Inaniuma sana
Kujuaa binadamu waleooo wanavyoishi
Inaumaa sana kubainii utuu.
Chungaa sana single long single noumoo.
{Kidela} Au Sio

Abdukiba Ft Alikiba – Kidela Mp3 Download

Check More Hits Song Alikiba;

Leave a Comment