Dogo Janja Ft Kusah – Mr Kuweza Lyrics
LYRICS

Dogo Janja Ft Kusah – Mr Kuweza Lyrics

MP3 DOWNLOAD Dogo Janja Ft Kusah - Mr Kuweza
Dogo Janja Ft Kusah – Mr Kuweza Lyrics

Tanzanian singer-songwriter and rapper, Dogo Janja came through with a brand new banger titled Mr Kuweza, Featuring a best artist from East Africa Kusah. Below are the Mr Kuweza Lyrics written and performed by Dogo Janja and Kusah.

SIMILAR: Dogo Janja Ft Maua Sama – Mziki

Mr Kuweza Lyrics by Dogo Janja Ft Kusah

……
anaitwa janjaro anaitwa janjaro
haiya haiya
anaitwa janjaro anaitwa janjaro
haiya haiya
anaitwa janjaro
Naitwa Janjaro nembo ya Kilimanjaro
bonge la nyang’au
bonge la sharobaro
ukiniona kama fala mkoni kumejaa
cimuogopi mtu zaidi namuogopa Jaah
peponi hakujajaa kule kunanifaa
au vipi kiz b
umesikia paa
me ndo superstar
cheki ninavong’aa
ndo maana nakimbiza mpaka kwao dar
me ndo mr kuweza
wewe cheza unavyoweza
ukiheza za kiswazi
Mimi niyacheza kingereza
ntalegeza
ntawameza
asa mkileta ile michezo ya feza
haiya haiya
haiyaaaaaa
haiya haiya
mtanambia nini??
haiya haiya
haiyaaaaaa
haiya haiya
Mimi ni wa ngarenaro uswahilini
kipind Nina hustle
namwaga jasho
nalala machoo
weeee
lleo inachoo
nafuta jasho
wanatoa macho
weeeee
kipind na hustle
namwaga jasho
nalala machoo
weeeee
lleo inacho
nafuta jasho
wanatoa macho
weeeeeee
unajua Mimi nimnouma
nahivi sijasoma
ila ninavyofanya wengine simnakoma
nishatimba chaka zote
Mwanza,
Dodoma,
na hivi kesho kutwa naenda kumchake Roma
rip young d
na wote wasiopendeza
mwambieni young killer yule mzungu alinikonyeza
ex wangu kanichek
nikamkatia simu
weeeeeee!
nikamwambia ebooo! unawazimu
Mimi ndo mr kuweza
we cheza unavyoweza
we cheza za kiswazi
Mimi nitacheza kingereza
ntalegeza
ntawameza
asa mkileta ile michezo ya feza
haiya haiya
haiyaaaaaa
haiya haiya
mtaniambia nini??
haiya haiya
haiyaaaaaa
haiya haiya
Mimi wa ngarenaro uswahilini
kipindi Nina hustle
namwaga jasho
nalala machoo
weeeeeee
lleo ninacho
nafuta jasho
wanatoa macho
weeeeeee
kipind Nina hustle
natoa jasho
nalala machoo
weeeeeee
Leo ninacho
nafuta jasho
wanatoa macho
weeeeeee
kipindi anafanya hakuna asichokiwezaaa
anaitwa janjaro
kutoka chini mpaka mr kuweza
anaitwa janjaro
kipindi anafanya hakuna asichokiwezaaa
anaitwa janjaro
kutoka chini mpaka mr kuweza
woyowoyowoyo
Janjaro
kipindi Nina hustle
namwaga jasho
nalala machoo
weeeeeee
Leo ninacho
nafuta jasho
mnatoa machoo
weeeeeee
kipindi Nina hustle
namwaga jasho
nalala machoo
weeeeeee
Leo ninacho
nafuta jasho
mnatoa machoo
weeeeeee
it’s time for manzese music beib

Dogo Janja Ft Kusah – Mr Kuweza Mp3 Download

More hit song from Jay melody;

Leave a Comment