K2ga - Nifundishe Lyrics
LYRICS

K2ga – Nifundishe Lyrics

MP3 DOWNLOAD K2ga- Nifundishe
K2ga – Nifundishe Mp3 Download

Tanzanian Bongo Fleva recording artist, singer, and songwriter signed under KINGS MUSIC label, K2ga is here with a brand new song tagged Nifundishe.

SIMILAR: K2ga – Rangi Rangi

Nifundishe Lyrics by K2ga

…
Ananii ananiona eti mpya kwake hanizoeii
Na mimi sijamuona wamfano wake na hatokeii
Aah suadina suadina nampenda suadina
Tumebadili najina ye ndo bibi nami bwana
Ipite muda sijamuona kabisa mi raha sina
Nakua kama nahoma na yeye ndo wakuniponya

Kinga madhubuti nipatie
Kasuku penzi nitunzie
Kama ruba unigandie aah aiya yaya
Tena bila shaka jiachie
Siku nzima iwe sherehe
Kua huru jipendelee aah yuyuyu

A e i anifundisha mapenzi kama nipo shule
A e i
A e i unifundishe mapenzi kama nipo shule
A e i aaah shuleee

Kwa mizani penzi letu halipimiki mimi na yeye
Waseme nini kuhusu kuachana tutake wenyewe
Nisiringe kwa nini nachotaka lazima nipewe
Jamani mimi aah! aaaah
Ogopa nadeka na utuuzima huu
Nacheka cheka tabasamu mwanana
Na uzipandisha zangu hisia juu
Nimejitafuta nimejipata Aaanh
Kinga mazubuti nipatie
Kasuku penzi nitunzie
Kama ruba unigandie aah aiya yaya
Tena bila shaka jiachie
Siku nzima iwe sherehe
Kua huru jipendelee aah yuyuyu

A e i anifundisha mapenzi kama nipo shule
A e i
A e i unifundishe mapenzi kama nipo shule
A e i aaah shuleee

Check More Hits Song K2ga;

Leave a Comment