Jux – Uzuri Wako Lyrics
Tanzanian R&B king Juma Jux drop the new music audio for his hit single from the latest album “The Love Album” titled As Long as you know means Uzuri Wako.
SIMILAR: Jux – Unaniweza Lyrics
Uzuri Wako Lyrics by Jux
Uh Ah
AM Record!
Uu oh
Nikiwa na wee matatizo nasahau
Kwa washika dau pesa zao nadharau
Hakuna kama we toka mwanzo mpaka now
Niko mimi na wewe huna mpango nao
Mapenzi unayonipa, yaani mpaka najiuliza
‘Hivi unaigiza?’, maana mi nakufa kabisa aah aa
Napenda nikikushika ubavu
Napenda nikikushikaaa
Napenda nikiku-kiss mdomoni
You’re my baby girl
Uzuri uzuri wako (uzuri wako)
Uzuri uzuri wako (uzuri wako)
Uzuri uzuri wako (uzuri wako)
Uzuri uzuri wako wewe (unanifanya nilie)
Uzuri uzuri wako (uzuri wako)
Uzuri uzuri wako (uzuri wako) (unanifanya nilie)
Uzuri uzuri wako (uzuri wako)
Uzuri uzuri wako wewe
Walisema mapenzi haiwezi kuwa mimi nawee (mimi nawe)
Tukaona ushenzi ni bora mimi nikuoe (nikuoe)
Isifike mwisho ukaniona mimi sifai (mimi sifai)
Wanatamani kesho unimwage wakuwahi (wakuwahi)
Wana chuki na visa na zao roho
Wanasema sifai kuwa nawe
Wakija na pesa we sema no
Nakupenda umenipenda wewe
Wana chuki na visa na zao roho (yeoh!)
Wanasema sifai kuwa nawe (yeoh!)
Wakija na pesa we sema no
Nakupenda umenipenda wewe
Uzuri uzuri wako (uzuri wako)
Uzuri uzuri wako (uzuri wako)
Uzuri uzuri wako (uzuri wako)
Uzuri uzuri wako wewe (unanifanya nilie)
Uzuri uzuri wako (uzuri wako)
Uzuri uzuri wako (uzuri wako) (unanifanya nilie)
Uzuri uzuri wako (uzuri wako)
Uzuri uzuri wako wewe (unanifanya niumiee)
Wananuna, wananuna
Nikiwa na wewe baby wananuna
Wananuna, wananuna
Nikiwa na wewe baby wananuna
Wananuna, wananuna
Nikiwa na wewe baby wananuna
Wananuna, wananuna
Nikiwa na wewe baby wananuna
Uzuri uzuri wako (uzuri wako)
Uzuri uzuri wako (uzuri wako)
Uzuri uzuri wako (uzuri wako)
Uzuri uzuri wako wewe
Uzuri uzuri wako (uzuri wako)
Uzuri uzuri wako (uzuri wako)
Uzuri uzuri wako (uzuri wako)
Uzuri uzuri wako wewe
Uzuri uzuri wako Yeah!
Uzuri wako Uzuri uzuri wako Thank you broda
Uzuri uzuri wako Paul!
Uzuri wako AM Records (uzuri uzuri wako wewe)
Uzuri uzuri wako Peizon
Uzuri wako Juva Tonny
Uzuri uzuri wako (uzuri wako)
I love you, baby
Uzuri uzuri wako (uzuri wako)
Uzuri uzuri wako wewe
Jux – Uzuri Wako Mp3 Download
Check out More hit songs from Jux;