Billnass Ft Jay Melody – Puuh Lyrics
LYRICS

Billnass Ft Jay Melody – Puuh Lyrics

MP3 DOWNLOAD Billnass Ft Jay Melody - Puuh
Billnass Ft Jay Melody – Puuh Lyrics

Popular Tanzania hip-hop artist and serial hitmaker, Billnass came through with another stunning banger titled Puuh, Featuring Jay Melody.

SIMILAR: Billnass Ft Rayvanny – Utaonaje

Puuh Lyrics by Billnass Ft Jay Melody

Aah hili penzi la ukweli baby nipe tu
Na ukinikuta nimelala unakuja juu
Tena kwa jinsi liko hot linawaka wuuh
Na ukinikumbatia moyo unadunda puuh
Aah unadunda puuh puuh puuh puuuh
Oh unadunda puuh puuh puuh puuuh
We unadunda puuh puuh puuh puuuh
Aah unadunda puuh puuh puuh puuuh
Uuh lalaaa!
Hi! Wacha niseme kitu boo
Siwezi kukutoa machozi mana mi sio kitunguu
Kila siku kwetu sikukuu
Valentine sio issue kwetu si ni siku tu
Najua unapenda zawadi magift
Na ndo mana work hard nikufix
Iwe shida ya mavazi chakula na maradhi
Sometimes niko radhi nijiwix
Nachofurah ata nikikosa unaniombea kwa mungu
Wapo walowahi nitosa kisa sina fungu
Nakumbuka longtime ilivyokua hard time
Kabla hujanitoa kwa ukungu
Ushaambiwa maneno shazi
Ushaambiwa mi sina hadhi
Ukaambiwa mimi jambazi
Tapeli wa mapenzi na bado ukaniitaji
Ushaambiwa maneno shazi
Ushaambiwa mi sina hadhi
Ukaambiwa mimi jambazi
Tapeli wa mapenzi na bado ukaniitaji
Aah hili penzi la ukweli baby nipe tu
Na ukinikuta nimelala unakuja juu
Tena kwa jinsi liko hot linawaka wuuh
Na ukinikumbatia moyo unadunda puuh
Aah unadunda puuh puuh puuh puuuh
Oh unadunda puuh puuh puuh puuuh
We unadunda puuh puuh puuh puuuh
Aah unadunda puuh puuh puuh puuuh
Uuh lalaaa!
Cheki ulivyopinda ukivaa unapendeza
Timu ishakuamini chagua namba utayocheza
Macho ya kichokozi yani kama unakonyeza
Spending money for your love kwako nawekeza
Zuzu zuzu ushanizuzua
Nishakuvusha vyeo na hakuna atakae kuvua
Na kitu husichojua ata wakisema unajiuza
Waambie mi ndo ninaekununua
Ushaambiwa maneno shazi
Ushaambiwa mi sina hadhi
Ukaambiwa mimi jambazi
Tapeli wa mapenzi na bado ukaniitaji
Ushaambiwa maneno shazi
Ushaambiwa mi sina hadhi
Ukaambiwa mimi jambazi
Tapeli wa mapenzi na bado ukaniitaji
Aah hili penzi la ukweli baby nipe tu
Na ukinikuta nimelala unakuja juu
Tena kwa jinsi liko hot linawaka wuuh
Na ukinikumbatia moyo unadunda puuh
Aah unadunda puuh puuh puuh puuuh
Oh unadunda puuh puuh puuh puuuh
We unadunda puuh puuh puuh puuuh
Aah unadunda puuh puuh puuh puuuh
Uuh lalaaa!
Mmmh mmh

Billnass Ft Jay Melody – Puuh Mp3 Download

Get More Hits Song From Billnass;

Leave a Comment