Barnaba Ft Joel Lwaga – Sayuni Lyrics
LYRICS

Barnaba Ft Joel Lwaga – Sayuni Lyrics

MP3 DOWNLOAD Barnaba Classic Ft Jux - Sijiwezi
Barnaba Ft Joel Lwaga – Sayuni Lyrics

The hitmaker of Lover Boy and the THT member known as Barnaba Classic, drop a new hits song titled Ade Featuring Gospel artist Joel Lwaga, a number seventeen song from “Sounds Different (LSD) Album“.

SIMILAR: Barnaba Ft Dayoo – Ade

Sayuni Lyrics by Barnaba Ft Joel Lwaga

Baba God made me shine
Nikuimbie zaburi
Jesus made me shine
Nikuimbie bwana mfalme wa mbinguni
Niimbe na zaburi bwana nitetee (ehh baba)
Nikuimbie baba mfalme wa mbinguni
Niimbe na zaburi baba nitetee(wewe baba)
Barnaba….
Kwenye nguvu za giza
Kati kati nilikatiza
wakavunja mayai viza
Ili kunikomesha
Baba kanifanyia nuru
Sina minyororo niko huru
Walinisiriba bwana umenitakatisha baba
Na kwenye safina yako nitakata siti ya mbele
Nami ni VIP baba maana nimekutii baba
Nikuimbie bwana mfalme wa mbinguni
Milima ya Sayuni bwana(baba)nitetee X2
Joel Lwaga……
Ehhhhh
Mhhhhhh
Walitabiri mwisho
Ukatangaza mwanzo
Walipopanga kifo
Nikavuma zaidi ya upepo
Wanauliza siri ni nini (siri ni nini)
Wanauliza nguvu ni nini (nguvu ni nini)
Nguvu zangu ni wewe
Na siri yangu ni wewe
Na kwenye safina yako nitakata siti ya mbele
Sababu mimi ni VIP baba maana nimekutii baba
Nikuimbie bwana mfalme wa mbinguni
Niimbe na zaburi bwana nitetee (ehhhhhh)
Nikuimbie bwana mfalme wa mbinguni
Niimbe na zaburi baba nitetee(enhhhh)
Haijalishi mi ni mwema kuliko wote
Bado unanijazia baraka baba asante Haijalishi mi ni bora kuliko wote
Ila wanipa neema na rehema zako Asante
Ninakuimbia baba mfalme wa mbinguni
Zaburi bwana nitetee mfalme ni we
Ninakuimbia baba mfalme wa mbinguni
Nakuimbia zaburi mfalme ni we
Mhhhhh
Ahhhhhh
…………..
Comix Lizer

Barnaba Ft Joel Lwaga – Sayuni Mp3 Download

More hit song from Barnaba;

Leave a Comment