Ibraah – Nimepona Lyrics
LYRICS

Ibraah – Nimepona Lyrics

MP3 DOWNLOAD Ibraah Nimepona
Ibraah – Nimepona Lyrics

Tanzanian recording artist and Konde Music World Wide serial hitmaker Ibraah have released a new hits song titled Nimepona.

SIMILAR: Ibraah Ft Harmonize – Tunapendeza

Nimepona Lyrics by Ibraah

Macho yangu ynatamani
kukuona ila moyo umegoma
Umecheza na hisia zangu
kumbe si fungu nilichagua koroma
Mi nashangaa macho yanatamani kukuona
ingali mabaya yalishuhudia
Nakidogo nlickokua nacho
Ndo kikafanya ukanikimbia
Yan kama nilichomwa na mwiba maa
Maumivu yakanipa shida naa
Siungesema kama umeshiba
Mapenzi yangu mapenzi yangu weeh
Mana uliyafanya sio yakawaida maa
Je ungeniona cha roho kikibana
Nikajikokota uku nikimuomba
Mungu wangu kutwa nikuonee

Sio kwa ubayaaa
Nmejiuguza na nimepona
Mmh wewe
Nimejiuguza na nimepona
Mi mzima wa afya
Nimejiuguza na nimepona
Yanilitesa ila sijafaa
Nimejiuguza na nimeponaa
Uuh yeeeeh uuuuuh!

We ndo uliwish nipitie mabaya
Moyo wako si umejenga chuki sawa sawa
Changu kidege kimeota mbawa
Haujaniuza bure bure umenigawa
Nenda utapata anaekupenda
Wenda utampenda haayaa
Mi kosa langu kukupenda
Ukaniona mwana kwenda haaayaaaa
Nilivyoongeza upendo mabaya ulifanya dhairi kwa vitendo
Kumbe ziro malengo kwangu ulifollow tendo
Zile baby baby we kumbe ulinizuga baby
Yani kama nilichomwa na mwiba maa
Maumivu yakanipa shida naa
Siungesema kama umeshiba mapenzi yangu mapenzi yangu wee
Mana ulifanya sio yakawaida maa
Je ukiniona cha roho kikibana
Nikajikokota huku nikimuomba mungu wangu kutwa nikuonee

Sio kwa ubayaaa
Nmejiuguza na nimepona
Nimepona nimepona eeh
Nimejiuguza na nimepona
Mi mzima wa afya
Nimejiuguza na nimepona
Yanilitesa ila sijafaa
Nimejiuguza na nimep

Ibraah – Nimepona Mp3 Download

More hit songs from Ibraah;

Leave a Comment