Biashara ya Juice Point
LIFESTYLE

Biashara ya Juice Point

Biashara ya Juice Point
Biashara ya Juice Point

Hii Biashara ina faida sana ukiwa sio bahili kwa wafanyakazi wako.Wengi inawashinda kwa kutowajali wahusika. Unatakiwa kwanza uwe msafi na pia jaribu kuwa unaibadilisha ladha ili isiwe ya kawaida mno.

Zaidi kutoka kwetu kichwahits.com tutakupatia HUDUMA Zifuatazo;
👉 Mafunzo ya kutengeneza Aina tofauti za Juisi Fresh.🍹🍉🍋🍍🍓🍎🥑🍒
👉Mchanganuo wa Biashara (Business Plan)

SIMILAR: Biashara ya Duka la Reja Reja

*Mambo muhimu kuzingatia;*
✔Bajeti ya Mradi.
✔Vifaa vinavyohitajika
✔Mbinu za masoko
✔Buni Mwonekano wa Biashara
✔Vifungashio
✔Kibali cha biashara,
✔Eneo la biashara,
✔Operating hours(Kupanga Masaa ya Kazi),
✔Usimamizi,
✔bei ya bidhaa,
✔Kupanga Malipo ya wafanyakazi,
✔Ubunifu.
👉Na Ushauri wa Kibiashara Bure.

.
.
👉Endapo Unahitaji Ufafanuzi zaidi/Maoni/Una swali Kuhusiana na Biashara

Tuwasiliane: sms/call/WhatsApp 0766 422 168
Email: [email protected]
Instagram: kichwadesign
USHAURI ni BURE

Get More Business Idea;

Leave a Comment