Kontawa X Jay Melody – Mbalamwezi Lyrics — kichwahits
LYRICS

Kontawa X Jay Melody – Mbalamwezi Lyrics

MP3 DOWNLOAD Kontawa X Jay Melody - Mbalamwezi
Kontawa X Jay Melody – Mbalamwezi Lyrics

Tanzanian artist better known as Kontawa comes up with new hits song titled Mbalamwezi, Featuring A young talented Tanzanian boy raised in the slams of Tandale Kwa Mtogole he has the street hustle spirit in him, commonly known as the singer and composer Jay Melody

SIMILAR: Kontawa – Dunga Mawe

Mbalamwezi Lyrics by Kontawa X Jay Melody

Me na chekaga tu
Me na ww kabla hatujawa wapenz
Tulikutana club ukanipa one night stand
Ile siku Nlkuwa na maumivu kishenzi
Me na EX wangu ndi tuliachana stendi
Nlikuwaga nauza banga na vijiti
Nlijitoa sana ilimradi yey aishi eeeh
Ila bado alini cheat
sa nge fanya Nn Na nlimfuma na polisi
Kumbe mapeenzi siti ya dala dala
Kashuka yeye umepanda ww
Atanikiwa Na njaa usinipe Chakula
Mama Nntaka nkule wew
niseme Kwelii sijielewi
Raha za hiii sayari ndo zinanichanganya me
Haya mapenz ibaki heri
Kukuachia siwezi
Nishakuweka moyoni

Unangara kama mbala mwezi
Ata niki lala nakuota mpenzi
Babe siunajua kukuacha siwezi
Yaani unangara kama mbala mwezi
Unangara kama mbala mwezi
Ata nikilala nauota mpenzi
Babe siunajua Kkkuacha siwezi
Yaan unagara kama mbala mwezi
Kwangu anacheza Mwenyew
Sitaki ata ni mchezee
Wenzenu tumepanda basi
Tuko road tunaenda uzee
Atakama wachawi ni wengi ii
Siwezi kumficha yeye sio bangi
Anapo nishika mwenzenu me
NApiga mabao kama vile halaand
Yeye, nakumbuka aliniambia
Anapenda uvuvi kupiga Mmkasia
Istoshe baba yake baharia
Ndo maana akija geto huawaga ananivulia
MAma mapenz siti ya dala dala
Kashuka. EX umepanda ww
Ata nikiwa Na njaa usinipe chakulaa
Mama nataka kula ww
Niseme.kweli sijielew
raha Za hii sayar ndo zinanichanganya me
HAYA mapanzi ibaki.herii
Kukuachia Siwezi nishakuweka moyoniii
Unangaraa kama mbala mwezi
Ata nikilala nakuota mpenzi
Babe siunajua kukuacha siwezi
Yaan Unangara kama mbala mwezi

Kontawa X Jay Melody – Mbalamwezi Mp3 Download

Also, Check out More Hits Song From Kontawa;

Leave a Comment