Tabia ya Bosi Sehemu ya Nne
CHOMBEZO

Ep 04: Tabia ya Bosi

SIMULIZI Tabia ya Bosi
Tabia ya Bosi Sehemu ya Nne

IMEANDIKWA NA  ENOCH LIBERATUS

*********************************************

Chombezo : Tabia Ya Bosi 

Sehemu ya Nne (4)

Bosi Kefason baada ya kuwapatia kitombo kikali Aneth na Ruby, alioga kisha akabadilisha nguo na kuondoka ofisini kwake huku akielekea nyumbani, siku hiyo Bosi Kefason alijisikia Furaha sana ndani ya moyo wake baada ya kufanya mapenzi na watu watatu tena katika wakati mmoja,Bosi Kefason alikuwa akipenda sanaa ngono kuliko kitu kingine chochote.

Samda baada ya kufika nyumbani,alifika anapitiliza bafuni kuoga ,kwani alijihisi mchafu sana hiyo ni baada ya Meshack kuzishika chuchu zake ,wakati akioga alikumbuka jinsi Meshack alivyokuwa akimshika na kumfanya kusisimuka hadi yeye mwenyewe akashanga,jinsi alivyojikuta akikubali kumpa ulimi wake Meshack ili wapigane denda bila yeye kujijua, bado aliendelea kumuwaza Meshack mawazo bado kuhusu kitendo alichokuwa amefanyiwa yaliendelea kumtesa.

Samda alikumbuka maneno ya Meshack alipokuwa akimubembeleza ili aweze kumkubalia kuwa mpenzi wake,ila yeye Samda aliweza kumkatalia kabisa,alipomaliza kuoga aliingia mezani kupata chakula cha mchana,ila wakati akila Baba yake alifika, Samda alimkaribisha Baba yake chakula wote wakawa wamejumuika mezani ili kupata chakula,wakati wakiendelea kula Mzee Kefason alikuwa akimuangalia sana Binti yake ,Mzee Kefason alimjua sana mtoto wake na hakumzoea hivyo siku hiyo alionekana kuwa wa tofauti sana na siku zingine alianza kumuuliza maswali ya kumtega ili kuupata ukweli juu ya kitu kilichokuwa kikimsibu.

“”””Samda Binti yangu”

“””””Abee!! Baba yangu””

‘”” mwanangu pole sana na masomo””

“””Asante Baba””

“”” hakuna tatizo lolote huko chuo””

“”” ndiyo Baba Hamna shida yoyote””

“””” mbona kama leo hauna furaha mwanangu ujue leo upo tofauti na siku zingine”””

“”” alitabasamu na kusema Baba yangu usiwe na wasiwasi wowote juu yangu mimi nipo poa tu sema sasa hivi sijisikii vizuri kichwa kinaniuma”””

Samda aliuficha ukweli hakutaka kumwambia Baba yake ukweli kama chanzo cha yeye kuwa na mawazo ni Mwanaume tena wakutoka familia za kimaskini aliyeitwa””” Meshack””

“”””” mwanangu ulisha tumia dawa lakini””

“””” tayari Baba nimeshameza dawa””

Walipomaliza kula kila mmoja aliingia chumbani kwake ,Samda aliporudi chumbani kwake aliipekua Simu yake alipokuwa ameiweka ,kitendo cha yeye kuifungua simu yake aliweza kukuta meseji nyingi sana kutoka kwa Meshack moja ilisomeka”” Mambo Mrembo wangu nikupendae,nyingine ilisomeka hivi”Samda naomba unikubalie ombi langu naomba uwe mpenzi wangu hatakama mimi natoka katika familia ya kimaskini mimi nakuahidi ukinikubalia nitakupa mapenzi yangu yote”” ,nyingine ilisomeka”” nasubiri jibu lako””

Kwa kitendo alichofanyiwa Samda na Meshack alijikuta anabaki mapanda njia ,”””Moyoni mwake alijisemea”””hivi nikimkubalia Meshack si lazima mwisho wa siku aniombe tufanye mapenzi na nikipata mimba hivi Baba yangu atanielewa kweli au ndo atanifukuza kabisa hapa nyumbani””Samda kichwani mwake alikuwa akiwaza tu na kuwazua,alishindwa afanye chaguo gani ila ukweli ni kuwa ndani ya moyo wake alikuwa akimpenda sana Meshack ila hakutaka kujionyesha kama anampenda”

Hajatulia mara simu yake iliingia ujumbe mwingine kutoka kwa Meshack uliosomeka hivi”””naomba nikupigie Mpenzi ili unipe jibu langu” ,hapo hapo bila kupoteza muda simu yake iliita kuangalia mpigaji ilisomeka jina la “Meshack” kijana mtundu sana aliyefanikiwa kumuwazisha kila wakati Samda, wakati Samda hakuwa na muda na wanaume ila kwa uchokozi aliomfanyia Meshack wakati wakiwa ndani ya gari ,ulimfanya Samda kupoteza muda mwingi akimuwaza…

Katika sehemu ya kumi tuliishia pale Meshack Alipo muomba Samda ili aweze kumpigia simu akiwa na nia ya kupata jibu kutoka kwa Mrembo huyo aliyetokea kumpenda sanaa…

ENDELEA….

Meshack alimpigia Samda, simu yake iliita kwa mda huku Samda akiiangalia tu na kujifikiria kichwani mwake aipokee au aache roho nyingine ikimwambia “pokea tu ila usilikubali ombi lake”,Samda aliipokea simu maongezi yao yakawa yameanza .

Meshack aliongea”””” Haloo!!! Mrembo wangu!

“”” hallo vipi Meshack’

“” poa tu Mrembo wangu”

“”” Nani mrembo wako kwanza??

“”” Aaaa mbona hivyo tena Mrembo”

”’ tena ukome kuniita Mrembo wako mimi sikupendi na sikuhitaji”

“” Samda usinijibu ivyo eti mwenzio najisikia vibaya””

“” bora ujisikie vibaya tena ukiendelee na utundu wako wakunishika shika katika chuchu zangu bila ruhusa yangu sitoka nikupe rifuti tena kwenye gari yangu””

Meshack kusikia hivyo alijishusha na kuwa mpole akawa amekubali tu ila kishingo upande”” sawa Samda nimekuelewa sitokuwa mtundu tena tukiwa wote usijali””

‘”” Eeeh bora uache utundu wako kabisa mimi siutaki na sipendi na kama jinsi nilivyokwambia mahusiano ya kimapenzi wakati tukiwa bado tunasoma hicho kitu sahau katika ubongo wako””

“”” Ila Samda mbona hivyo jamani mwenzio nakupenda sana usinitese kiasi hicho utasababisha nikione chuo kichungu eti,Nionee huruma mwenzio na unikubalie”Meshack alijitahidi sana kumbembeleza Samda ili aweze kuwa nae kimapenzi

“”” nimesha sema sirudii tena mara mbili sitaki kujiingiza katika mahusiano ya kimapenzi wakati bado nasoma, kama kweli unanipenda subiri hadi tutakapo maliza chuo””

Samda alimalizia kwa kusema”” Mvumilivu ndiye mula mbivu”” akasema bye!!! Kisha akawa amekata simu.

Wakati Samda akiongea kwenye simu alikuwa akitumia nguvu nyingi sana alijikaza vya kutosha,kwani aliogopa kumkubalia Meshack katika wakati huo kwakuwa alijua kitakachofuata baada ya kumkubalia,Kwa upande wa Meshack alikuwa akiwaza sana kuhusu Mrembo Samda aliyetokea kuziteka hisia zake za mapenzi,alijisemea tu mwenyewe”” acha anikwepe sasa hivi ila badae lazima nitamuingiza ndani ya mtego wangu,mimi sindo mkali wa swaga mwenyewe nisiyekubali kushindwa alijiapiza,huku akitoka geto kwake akitembea kuelekea kwa marafiki zake..

Siku zilizidi kusonga mbele, mipango na mambo mapya yalizidi kubadirika kila siku,siku moja Kabilo alikuwa amekaa sebuleni na Baba yake wakijaribu kupiga stori mbili tatu kuhusu maisha na kubadirisha mawazo siku hiyo ilikuwa ya wikendi,ilikuwa siku ya jumapili hawakuwa wameenda kazini,Bosi Kefason alikuwa na maswali ya kumuuliza Mtoto wake kuhusu Mahusiano yake kwakuwa hakuwahi kusikia hata skendo yoyote iliyokuwa ikimuhusu,ukizingatia alikuwa na umri wa miaka 28 alikuwa mtu mzima kabisa,ila bado hakuwa na skendo zozote za kuwa katika mahusiano na msichana yeyote.

Bosi Kefason alimuuliza””” Mtoto Wangu hujawahi kuniambia kuhusu mahusiano yako na binti yeyote,mbona hatuambizani au unataka unifanyia Kama sapraizi “, Kabilo alitabasamu na kusema””” Baba maswali yako yanafurahisha sanaa,ni kweli Baba unachokisema kwa sasa hivi nimetulia tu niko bize na kazi na wala sipo katika mahusiano na binti yeyote””

Bosi Kefason alicheka sana kisha akasema”” ni kweli nakuona upo bize kila siku na kazi zako,ila nikwambie kitu mtoto wangu”” kumbuka umri unazidi kwenda miaka hairudi nyuma changamka mwanangu”’

“”” sawa Baba ulichokisema ni sahihi,ila Baba shida ni kuwa sina muda wa kutafuta binti wa kumuoa labda unisaidie njia sahihi ya kumpata binti wa kuoa Kwasababu mimi hata sioni.

Bosi Kefason alitabasamu na kusema”””” usijali mwanangu mimi nawazo moja unaonaje tutangaze katika vyombo vya habari kuwa mabinti wote ambao wanataka kuolewa na wewe, waweze kujitokeza ili tuweze kumpata binti sahihi kwa ajili yako hilo wazo unalionaje”‘

“””” sawa Baba hilo wazo nimelikubali inabidi tulifanyie kazi ila cha kuongeza juu ya hilo ningependa mabinti hao watakao kuja katika interview fupi ya kumchagua binti sahihi waje ambao ni ma bikra tu”‘ Kabilo aliongea

Bosi Kefason alishituka akauliza tena kwa mshangao “”unataka waje mabinti bikra katika mahojiano ua siku hiyo ya kumchagua binti sahihi wa kuolewa na wewe””

“”Ndiyo Baba nataka tangazo litangazwe hivyo sitaki binti asiye bikra aje katika mahojiano hayo,na mwisho wa miaka inatakiwa asiwe juu ya miaka 25 .

Baba Kabilo alikubali ombi la mtoto wake akasema””” sawa usijali ngoja kesho niwaite watangazaji waweze kutangaza kuhusu hili tulilokubaliana,siku ya mahojiano tuipange iwe baada ya siku tano,wote walikubaliana.

Ilikuwa siku ya jumatatu Bosi Kefason alienda kuonana na watangazaji wa taarifa ya habari ili waweze kutangaza taarifa hiyo,tangazo hilo walilipitisha katika vyombo vya habari ,lililomuhusu Kabilo mtoto wa Gwiji katika jiji hilo la Tehera kuwa anatafuta Mke wa kuoa, sifa za Binti zilitajwa asiwe zaidi ya miaka 25, na awe bikra ,baada ya tangazo hilo kutangazwa Familia ya Bosi Kefason walibaki wakijiandaa kuwapokea mabinti hao watakao jitokeza siku hiyo kwa ajili ya mahojiano, siku ya kumchagua Binti sahihi kwa ajili ya Kabilo ilitajwa ambayo ilikuwa ni jumamosi.

Siku yenyewe ya kumchagua Binti sahihi mwenye sifa za kuwa Mke wa Kabilo iliwadia ambapo ilikuwa ni siku ya Jumamosi,mabinti waliojitokeza katika interview hiyo hawakuzidi 62 ,walikuwa wengi kwa kiasi chake,wote walikuwa wamejiremba vya kutosha kila binti alionekana kufaa kuwa Mke wa Kabilo,ila Kabilo alitaka achague mwenyewe Mrembo anayemfaa, muda wa interview ulifika interview ikawa imeanza…

ILIPOISHIA..

Katika sehemu ya 11 tuliishia pale Warembo wote waliotaka kuolewa na Kabilo walipojikusanya katika mahojiano”interview”” iliyotangazwa ili kumchagua binti mmoja tu aliyekuwa na sifa za kuwa Mke wa Kabilo….

ENDELEA….

Mahojiano yalianza ,Interview hiyo ilifanyika nyumbani kwa Bosi Kefason,mabinti wote walikuwa wamekaa sehemu moja,huku akiingia kuhojiwa mmoja baada ya mwingine, katika sakasaka hilo la kumtafuta binti Mrembo anayefaa kuolewa na Kabilo.

Alikuwepo binti mmoja kwa jina aliitwa Amber binti huyo kwanza kuja kwake katika interview hiyo alikuja kwa kuchelewa ,aliwakuta wenzake wakiwa wameshafika nyumbani hapo kwa Bosi Kefason ,yeye kufika hadi hapo nyumbani kwa Bosi Kefason ilimbidii kwanza aulizie huko mitaani kwakuwa alikuwa hata hapajui kwanza alipashangaa jinsi palivyokuwa pamejengeka vizuri kwani mtaani kwao alipokuwa akiishi waliishi watu maskini na wenye hadhi ya chini sana.

Mabinti wenzake aliowakuta katika interview hiyo wote walianza kumcheka ,huku wengine wakinong’onezana na kusema “”ona huyu binti alivyo vaa ,kwanza hajui hata kuvaa onaa!!, wote walicheka huku wakigeuka na kumuangalia Amber, ila Amber hakuwajali aliwapotezea, kikundi cha mabinti hao walionekana kutoka katika familia za kitajli kwakuwa hata uvaaji wao tu uliweza kuwatofautisha na mabinti wengine ,mabinti hao walikuwa wamevalia nguo nzuri fupi sana na za kisasa zaidi”za bei kali” tofauti na nguo alizokuwa amevaa Amber ,waliendelea kusema”’ona kwanza alivyovaa kama Bibi kizee””,wengine walisema “”huyu yeye bora arudi tu, kwanza huyu akifika mlangoni tu atarudishwa hahahaha!! wote walicheka kwa dharau na kejeli”””

Ndani ya ukumbi mkubwa wa nyumba ya Bosi Kefason interview ilikuwa ikiendelea,ambapo ,ndani ya nyumba hiyo mezani walikuwa wamekaa watu watatu,Kabilo,Bosi Kefason na Samda,Familia nzima ilishiriki katika siku hiyo kumsaidia Kabilo kuchagua Mke sahihi wa kuolewa nae,mabinti walizidi kupungua kila aliyeingia ,baada ya kufanyiwa interview aliambulia kuambiwa hivi “””subiri utatumiwa ujumbe”””.

Ilifika wakati wakawa wamebaki mabinti tisa tu kati ya mabinti 62 waliojitokeza katika interview hiyo, kati ya mabinti wote waliokuwa wameshapita na kujitokeza katika kinyanganyilo hicho hakuna hata mmoja kati yao aliyeweza kuvutiwa na Kabilo, katika idadi ya mabinti waliokuwa wamebaki lilikuwa ni kundi la mabinti kutoka katika familia za kitajili waliokuwa wakimcheka na kumzomea Amber, mabinti hao baada ya kuona watu wamebaki wachache waliona wamuache Amber aingie kwanza kuhojiwa halafu wenyewe ndo waingie mmoja wao aliongea”’ ngoja tukaache haka ka binti kabaya kaende tu ili katupishe sisi warembo””, mwingine akisema'”‘ hata kakienda hakawezi kuchaguliwa””,mabinti hao waliokuwa wakitoka katika familia za kitajili walikuwa na dharau sana.

Muda wa Amber kuingia kuhojiwa ulifika,Amber alitoa kakio kake kadogo alikokuwa amekahifadhi ndani mkoba wake,akajitengeneza vizuri na kuziweka nywele zake sawa kisha akazama ndani,mabinti hao waliokuwa nje walianza kumhesabia dakika kwakuwa walijua hatochukua muda mrefu akihojiwa, walijua kama akichukua muda mrefu haziwezi kupita dakika tatu,baada ya Amber kuingia ndani kuhojiwa walianza kumhesabia dakika.

Amber alivyoingia ndani humo kuhojiwa alionekana kwanza kuwa watofauti na mabinti wengine waliokuwa wamekwisha tangulia ,uvaaji wake tu ulimtambulisha moja kwa moja kuwa ni mtu wa aina gani ,Amber alikuwa kavalia gauni ndefu,lililokuwa likiifunika miguu yake,kichwani kwake hakuwa amesuka nywele bali alikuwa amezitunza nywele zake vizuri ,nyuma alikuwa na mzigo mkubwa uliokuwa umejihifadhi ndani ya gauni alilokuwa amelivaa,Mzigo wake nyuma ulionekana vizuri ukijumlisha rangi ya ngozi yake iliyokuwa ya maji ya kunde””, Amber alikuwa na sura nzuri sana na ya kuvutia,wote walikuwa wakimtolea macho,Bosi Kefason sifa alizokuwa nazo Amber kwa kumuangalia tu ziliweza kumvutia sana.

Bosi Kefason alianza kupata shida alipokuwa amekaa,staili za ukaaji zilikuwa hazieleweki,mara anyoshe miguu,mara akunje miguu duuh!! ilikuwa ni pata shika hapo mbele,Kabilo uzuri wa Mrembo Amber ulimchanganya zaidi alibaki akimtumbulia macho akijaribu kumufananisha na mabinti wengine waliokuwa wamepita hapo kuhojiwa ila hakuna hata mmoja aliyeonekana kumfikia Amber, Kabilo alijikuta anapata ujasiri wa kumuuliza maswali mengi Amber ili kumpima uelewa wake.

Kabillo alimuuliza”””” samahani unaitwa nani?

Amber aliitikia kwa madaha”””‘ naitwa Amber””

“” una jina nzuri sanaa Amber “Kabilo aliongea

Amber alimjibu”” ahsante “

“” Upo tayari kuwa Mke wangu””Kabilo alimuuliza

“”” Ndiyo nipo tayari”‘

“” unajua wajibu wa Mke kwa Mume wake”

“‘” ndiyo najua'”

“” naomba unitajie wajibu wake kama unaujua kweli”

Amber alianza kutaja wajibu wa Mke kwa Mume wake”” akisema kwanza inabidii aweze kumtii Mume wake,pili inatakiwa aweze kuilinda na kuithamini ndoa yake,nyingine inabidii aweze kumsikiliza na kumuheshimu Mume wake”””.

Kwa jinsi Mrembo Amber alivyojibu swali alilokuwa ameulizwa na Kabilo wote walimpigia makofi.

Kabilo alisimama na kusema””” hongera sana Amber umechaguliwa kuwa Mke wangu,nenda hapo nje unisubiri ila waambie ambao bado hawajahojiwa waondoke tu kwakuwa huu ndio mwisho wa interview,Amber hakuamini alichokisia alifurahi sana ,alitoka nje kwa furaha huku akishangilia alipofika nje mabinti wale waliokuwa wakimcheka na kumdharau walikuwa wakishanga wakamuuliza “”unacheka nini wewe” au akili zimekuluka””

Amber aliwajibu””” nimebahatika kuchaguliwa na nimeambiwa niwaambie msiendelee kusubiri hapa nje interview imeshaisha””, Mabinti hao hawakuamini kama Amber anachokiongea ni kweli,waliona kama Amber anawatania,Walitaka wajilidhishe kama ni kweli, walipofungua mlango tu na kutaka kuingia walisikia sauti ya Kabilo akisema

‘”Muda wa interview umeshaisha nimeshampata Mke mwema tayari nyie rudini ila nashukuru kwa kushiriki kwenu””,Mabinti hao walitoka nje kwa aibu,walishindwa hata kumuangalia usoni Amber,hakuna aliyeweza hata kumpongeza wote walimpita huku wakiwa wameinamisha vichwa vyao chini kwa aibu

Hakika “”jambo usilo lijua ni sawa na usiku wa giza””,na siku zote usimcheke mamba kabla hujavuka mto”

Baadae Kabilo na Amber walikutana wakazungumza huo ndio ulikuwa mwanzo wa mahusiano yao, kwa uzuri aliokuwa nao Amber ulimfanya Bosi Kefason kuanza kufikiria namna nyingine ya kuweza kumpata,Bosi Kefason alitokea kumtamani Mrembo Amber,kwanza ujasiri ,uelewa wake na uzuri aliokuwa nao vilimfanya Bosi Kefason kuanza kutafuta njia na jinsi ya kumpata bila kipingamizi chochote kutoka kwa mtu yeyote alianza kupanga mipango yake kwa siri bila Kabilo kuweza kufahamu.

Katika sehemu ya 12 tuliishia pale Bosi Kefason alipomtamani Amber kisha akawa ameahidi kufanya kitu chochote ili aweze kumpata Mrembo huyo, aliyekuwa na umbo matata shepu namba 8 , sura nzuri na ya kuvutia.

ENDELEA…..

Kabilo alitokea kumpenda sana Amber,hata uvaaji wake na uelewa wake vilimkosha zaidi,Amber alitoka katika familia ya kimaskini ila bado alipata nafasi ya kuwa mchumba wa Kabilo,Kwa kumuangalia nje Amber usingeweza kujua moja kwa moja kama kweli anatoka katika familia ya kimaskini kwasababu Amber alijijali sana alijua kujitunza vizuri kama Binti…

Bosi Kefason alimuonea wivu sana Mtoto wake Kabilo,kwa mawazo yake aliona kama atafaidi sana endapo atakuwa wa kwanza kumtoa bikra Mrembo Amber,hivyo basi alianza visababu visivyo na msingi, alitafuta sehemu ya kuingilia ili mradi tu kusitisha mahusiano ya kimapenzi kati ya Amber na Kabilo kwakuwa yeye mwenyewe alikuwa akimtaka Amber ili amfaidi kwanza kabla ya Kabilo kumfaidi.

Siku moja Bosi Kefason alimuita Kabilo,kisha akawa na jambo la kumweleza Mtoto wake juu ya mchumba wake Amber maongezi yao yalikuwa hivi..

Bosi Kefason kwanza alimpongeza kijana wake huku akisema “”’ Mwanangu nakupongeza kwakumpata mchumba mzuri na mwenye kila sifa,hongera sana kwa hilo””

“”” Asante Baba kati ya wadada wote Amber ndiye niliyetokea kumpenda na naimani atakuwa Mke mwema kwangu””Kabilo aliongea kwa msisitizo

“” Ni kweli Kabilo ila mimi kuna kitu sijakipenda kinachomuhusu mchumba wako””

Kabilo alishituka kusikia hivyo””” Baba kitu gani hicho “” Kabilo alitega masikio yake kwa makini kusikiliza hicho kitu ambacho Baba yake alionyesha kutopendezwa nacho kutoka kwa mpenzi wake Amber

Bosi Kefason aliongea”‘” Kabilo nimefuatilia huyu Binti uliyempenda anatoka katika familia ya kimaskini huoni kama akija hapa anaweza kubadilika na isitoshe hatujui nia yake ya kutaka kuolewa na wewe”” Bosi Kefason alimuuliza kijana wake “”unajuaje kama yuko anaolewa kwako kwa sababu ya upendo wa dhati alionao kwako au mali ulizo nazo “”

Kabilo alikasilika sana alisema kwa hasira “”kwahiyo Baba hiki ndicho ulichoniitia ,yani mimi nimuache Amber eti kisa anatoka katika familia ya kimaskini ,Baba hapo penyewe siwezi kukuelewa kabisa, Amber ni mchumba wangu na nampenda sana siwezi kumuacha na kutafuta mchumba mwingine eti kisa familia yake ni ya kimaskini”””,Kabilo alisimamia msimamo wake

“”””Kabilo nisikilize mimi Baba yako hadi mimi kukwambia hivi ujue nimeshaona mara nyingi, haya mambo yakitokea kuna mabinti wengi wazuri tu wanaotoka katika familia za kitajili, hao mimi ndo nawataka siwezi kukuruhusu uoe binti wa kutoka katika familia ya kimaskini””

Kabilo alikuwa amesha kasilika alimuuliza Baba yake””kwani Baba naoa mimi au wewe ndo unaoa “

“””” Najua kama wewe ndo unaoa ila nakusaidia we kama mtoto wangu kuchagua Mke aliyebora na atakaye kufaa huwezi kujuwa lengo la Amber kutaka kuolewa na wewe”””

“””” Sasa Baba hayo ni mawazo yako kuhusu Amber mimi namuamini na sifikirii kama jinsi unavyofikiria wewe,Mimi nampenda na lazima nimuoe”””” Kabilo alimaliza kuongea kisha akaondoka zake kuelekea chumbani kwake huku akimuacha Baba yake akiendelea kujiongea mwenyewe.

Bosi Kefason mpango wake wa kusitisha Mahusiano ya kimapenzi kati ya Amber na Kabilo,aliona kama mpango wake umefeli ,hapo ndipo alipojuwa kweli mtoto wake anampenda sana Amber na hayuko tayari kumuacha, ila alijisemea mwenyewe””” Lazima nifanye kitu hapa siwezi kukubali kushindwa hivi hivi,Mtoto wangu wa kumuzaa hawezi kushindana na mimi””

Samda maisha yake ya chuo yalikuwa yakiendelea vizuri,ila Usumbufu kutoka kwa Meshack haukukomaa ndivyo ulizidi kuongezeka kabisa,Meshack aliendelea kumsumbua kila siku iliyoenda kwa Mungu ,Meshack hakukosa kumkumbusha Ombi lake la kumtaka kimapenzi.

Samda alijitahidi kumkwepa na kumjibu vibaya Meshack, ili kumkatisha tamaa Meshack asiendelee kumsumbua,ila Meshack alikuwa mwanaume king’ang’anizi sana hakuwa tayari kumpoteza Mrembo Samda kwa akili yake alijuwa akisha fanikiwa kumzamisha katika mapenzi mtoto wa Bosi Kefason,kuwa angeweza kufaidika na vitu vingi kutoka kwa Samda,ilipita miezi miwili bado Meshack aliendelea kumfuatilia Samda,Meshack hakuwa mtu wa kukataa tamaa kizembe alijuwa ipo siku Mrembo Samda atamkubali tu na kumpa nafasi ndani ya Moyo wake.

Tukirudi upande wa Bosi Kefason usiku mmoja alikuwa katika hoteli yake kubwa katika jiji hilo la Tehera,Bosi Kefason alionekana kupiga simu upande wa pili kwa kijana wake aliyemwamini sana kijana huyo aliitwa Mbege,maongezi yao yalikuwa hivi

“”””Hallo!! Mbege”

“””haloo Bosi shikamoo””

“”” Marahaba upo pande zipi kijana wangu””

“””” Nipo nyumbani hapa nimetulia tu”””

“””” Ahaaaa sawa kuna kazi hapa nataka nikukabidhi naamini utaifanya vizuri””

“””” Kazi gani hiyo Bosi””Mbege aliuliza

“”” utaijua ukishafika hapa ,nipo hapa hotelini kwangu wakusanye vijana wako wote mje hapa niwape hiyo kazi fanyeni haraka nimewasubiri””‘

“”‘sawa Bosi ngoja niwape taarifa muda si mrefu tutakuwa hapo'”Mbege alimjibu Bosi wake

Mbege alikuwa na kundi lake la vijana wa kazi waliokuwa watiifu kwa kumtumikia kikamilifu Bosi Kefason,kila kazi ngumu aliwatuma hao vijana,vijana hao kwa idadi walikuwa 7,Mbege aliwakusanya vijana wake na kisha wakaondoka kuisikiliza hiyo kazi Bosi Kefason aliyokuwa akiwaitia ili waweze kuifanya…

ITAENDELEA

Tabia ya Bosi Sehemu ya Tano

Also, read other stories from SIMULIZI;

Leave a Comment